All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,569
Na anaupiga kweliRais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
View attachment 2105032
Jamaa huenda akachukuwa nafasi ya Siro