Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!

View attachment 2105032
Huyu awadhi ni kiongozi wa Wala Rushwa Jeshi la polisi.
Mkimuongezea huyu ataliharibu jeshi lote
 
"Kibaka Awadhi na wenzake hawawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu waliyoyafanya yalikuwa na baraka za Rais Samia. Anajua kilichokuwa kinaendelea ndio maana yuko kimya. Ndio maana sasa tunataka kuzungumza na wafadhili kwamba wasimpe msaada tena wala kumkopesha tena ni tapeli."

Pia soma: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Screenshot_20240818_091605_Chrome.jpg
 
Maelekezo toka juu huwa ni kauli moja tu

'hebu kalishughulikieni' hapo tayari ni kill order, ndio maana hana wasiwasi wala kuona haja ya kujibu.

Ila anasahau na yeye atakufa tu.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!

View attachment 2105032
Baadhi Ya Wanaopata Mserereko Wa Vyeo Wanakuwa Na Utendaji Duni, Dhoofu Usio Na Tija, Kama Unavyomuona Hapo
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!

View attachment 2105032
😆😆😆😆😆
 
Ni yupi huyo alotajwa kutesa wapinzani kwa vipigo na udhalilishaji? Au sio ?
 
Back
Top Bottom