Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Waislam wengi hawapendi shule,wengi vilaza tu.......hawawezi tosha kwenye hizo nafasi[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio maana JPM alikua anawachagua wa kanda ya ziwa tu
Na bado naona utakufa siku si zako
 
Hivi wakati mwendazake akichagua wakiristu watupu alikuwa huoni au unajiuguza wehu hata usianze kuingiza masuala ya udini hapa
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
 
Wewe Bwege,huko ni Zanzibar,Wanazareti ni wachache sana,hakuna cha ajabu hapo.
 
Hivi mkristo au muislamu akipewa cheo, mtu unafaidika Na nini kutokana Na Imani yake? Huna undugu naye, hakujui humjui alafu unatoa povu mpaka mate yanakauka ajabu sana aisee.
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu

Kama umetambua awamu nyingine ilikuwa wengine na hii ni wao, basi heri... mama anafungua anga...mpongeze...
 
Hongera sana kwake, hakika anastahili.
ukichapa kazi kwa bidiii na maarifa hakika lazima utatunukiwa.
acheni majungu na fitina sehemu za kazi, chapeni kazi kwa manufaa ya wananchi.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!

View attachment 2105032
Kila mja kazaliwa na bahati yake!
 
Waislam wengi hawapendi shule,wengi vilaza tu.......hawawezi tosha kwenye hizo nafasi[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio maana JPM alikua anawachagua wa kanda ya ziwa tu
Hawa wateule wa Samia ni professors, PHD holders. Kawapata wapi?
 
Hongera sana kwake, hakika anastahili.
ukichapa kazi kwa bidiii na maarifa hakika lazima utatunukiwa.
acheni majungu na fitina sehemu za kazi, chapeni kazi kwa manufaa ya wananchi.
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Mimi ni mkristu msema kweli,
ukianza kulinganisha Kati ya waislamu na wakristu katika nafasi mbalimbali ktk Idara za Serikali basi utabaini kuwa wakristu ni wengi zaidi kuliko waislamu.

fanya utafiti kwenye nafasi za uwaziri, manaibu, Majaji, Wasajili, watendaji mbalimbali, n.k n.k nafasi hizo zime hodhiwa zaidi na wakristu kwa miongo mingi sana, na ndugu zetu waislamu wamekuwa kimya, sasa inapo tokea na wao kuteuliwa kwa sifa na weledi tuache chuki maana nchi hii ni yetu sote hakuna mwenye haki zaidi ya mwengine, jambo la msingi ni Sifa na weledi,.

Binafsi huwa naamini zaidi kwenye UWIANO katika nafasi za Serikali kuliko kundi la watu wa aina moja kuhodhi kila nafasi, Tukitaka kujenga Taifa lenye nguvu na Imara hatuna budi kuzingatia UWIANO katika kila nafasi za Serikali, tuache kabisa tabia za kizamani, mambo yamebadilika sana, endapo tutaendelea na mfumo wa kizamani matokeo yake watu wa dini moja wanajisahau na kudhani kuwa wao ndio wanahaki zaidi ya kulijenga Taifa kuliko wengine!! Taifa letu litajengwa na sisi sote, Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.

Taifa lenye nguvu na Imara litajengwa na watanzania wote wa dini zote.
tuwe waungwana kama walivyo wenzetu.
 
Sahihi
 
Back
Top Bottom