Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Hata mm nimeshindwa kuelewa imekaaje katoka Direct ACP to CP

Mwenye mamlaka anapomtaka mtu fulani anafanya chochote anachotaka.

Wapo hata TPDF Generals ambao wamewahi kupandishwa cheo kwa mseleleko (kutoka ngazi ya chini ya General kuwa full General bila kupitia vyeo vyote) na kisha kuteuliwa kuwa CDF!
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!

View attachment 2105032
Anaupiga mwingi kwa kuwabeba Waislamu wenzake na Wazanzibari wenzake??.Hivi maana ya kuupiga mwingi inaeleweka kweli??.
 
Tunampenda Simon Nyakorro Sirro kwa sababu yy ndiye kakomesha ujambazi wa kutisha hapa nchini. Mengineyo ni mapungufu ya wana wa Afam
Amekomeaha ujambazi wa bila uniform na kuhararisha ujambazi wa kidola.
 
ok hapo sawa ila huyu jamaa alipokuwa trafiki alipitiliza alikuwa anadhalilisha sana madereva . Kumbe ni Mzenji nilidhania Mpare . Hongera zako
 
ok hapo sawa ila huyu jamaa alipokuwa trafiki alipitiliza alikuwa anadhalilisha sana madereva . Kumbe ni Mzenji nilidhania Mpare . Hongera zako
Mkuu kama huyu ni yule aliyekuwa trafiki basi ni mrangi.
 
zanzibar ndivo ilivo miaka yote hata wakuu wa mikoa ya kule ni waislamu na ngazi zingine zote, sio upendeleo moja ya sababu watu wengi kule ni waislamu hivo ndio mana wapo wengi serikalini
99% ya wanzazibari waislamu.
 
Back
Top Bottom