Huyu awadhi ni kiongozi wa Wala Rushwa Jeshi la polisi.Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
View attachment 2105032
Mkimuongezea huyu ataliharibu jeshi lote