Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174

Amepandishwa mara moja. Kingine ni uteuzi. These two things don’t mean the same thing!
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Huyu ndiye IGP ajaye
 
Teuzi za rais zinapitia vetting kibao ikiwamo watu walioko kwenye mfumo ambao dini kwao sio kigezo cha msingi maana dini haina kanuni leo unaweza lala msabato kesho mke akikuboa ukaamka muanglikana sasa nchi haiendeshwi hivyo mwacheni mama afanye kazi na timu anayoiamini.
 
Teuzi za rais zinapitia vetting kibao? Ilikuwaje yule dada wa form four akateuliwa kuwa RAS, alafu baadae wakaja kushtuka baada ya watu kusema wakamtengua?
Vipi pia kuhusu walivyomteua uvccm kuwa mkurugenzi wa Tpdc baada ya watu kusema wakamtengua usikuusiku?
Makosa kwenye teuzi ni mengi sana
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Watu wenye mavi kichwani kama wewe mnakera Sana kwa hiyo akateuliwa mkristo ni sawa , acheni uduni wa kijinga mtu anateuliwa kwa uwezo wake coz dini haifanyi kazi. Vijana mnakera sana na mambo ya udini
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Mkuu kwani dini ni kigezo cha uteuzi? Pili, kwa Zanzibar tegemea asilimia kubwa ya wateule kuwa Waislamu.

Vv
 
Huyu bibi hadi 2025
Ata Tyjikuta amejaza wanawake, wazanzibar na waislam bila kujua..[emoji1787][emoji1787]
Takataka kama wewe mnatoka wapi Tanzania haina vichwa mavi kama nyie unataka ateuliwe baba yako sababu mkristo, acheni ujinga mnazalisha chuki za kipumbavu Rais haeteui mwenyewe kuna vetting inafanyika ambayo dini sio kigezo labda kama kuna operation maalumu ya usalama
 
zanzibar ndivo ilivo miaka yote hata wakuu wa mikoa ya kule ni waislamu na ngazi zingine zote, sio upendeleo moja ya sababu watu wengi kule ni waislamu hivo ndio mana wapo wengi serikalini
Sure majority kubwa ni waislam ila wakristo wapo but wanapewa nafasi za chini sana ambazo huwezi kuwaona wala kuwafikilia, inshort wamefichwa na kufichwa kwenyewe ni kwenye nafasi ambazo hawawezi kuonekana.

Ukifuatilia historia ya ukristo hapo Zanzibar ulikuwepo kitambo sana sema ulifanyiwa na unafanyiwa figisu na ndiyo maana makanisa yaliyopo hapa stone town na kule Mbweni karibu na afisi ya mkurugenzi wa uchaguzi ni ya karne nyingi kuliko msikitini ya hapa Zanzibar.
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Hatuangalii dini wala kabila la mtu katika uteuzi wowote ule, mtu huangaliwa uwezo wake kielimu na uadilifu.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Mama apandishe na wa Galatia (Kristu) pia, asipendelee upande Mmoja tu
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Mama ameteua mtu makini sana.Namfahamu Awadhi nilifanya naye kazi pahali akiwa polisi nami idara nyingine.Awadhi ni mwadilifu,amejaa hekima,ana busara , subira na ni mkweli.Pia ijapo ni polisi, ni mnyenyekevu.
Acheni kutazama udini ndugu,mimi sio muislamu lkn Awadhi seconded anafaa.
Haya mambo ya dini gn mmesahau mara hii yule alikuwa dini gani? Vipi hali ilikuwaje?
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Hulaumiki bwana Yesu alishawataja watu Kama nyinyi

wjd-billboard-born-gay.jpg
 
Back
Top Bottom