Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Huyu awadhi ni kiongozi wa Wala Rushwa Jeshi la polisi.
Mkimuongezea huyu ataliharibu jeshi lote
 
Maelekezo toka juu huwa ni kauli moja tu

'hebu kalishughulikieni' hapo tayari ni kill order, ndio maana hana wasiwasi wala kuona haja ya kujibu.

Ila anasahau na yeye atakufa tu.
 
Baadhi Ya Wanaopata Mserereko Wa Vyeo Wanakuwa Na Utendaji Duni, Dhoofu Usio Na Tija, Kama Unavyomuona Hapo
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ni yupi huyo alotajwa kutesa wapinzani kwa vipigo na udhalilishaji? Au sio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…