Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika