Rais Samia ampendekeza Profesa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO-Afrika

Na huu ndio upumabvu wa TZ, kuendesha kila kitu kisiasa.

Janabi anaweza kuwa mzuri kitaaluma lakini sidhani ana exposure ya kuweza kuweka ushindani kimataifa. Angemuacha hapa hapa aendelee kutengeneza contents za memes tu kuhusiana na vyakula.

Nina hakika kuna wasomi wengi TZ wenye exposure, weledi na competence ya kuweza kushika nafasi ya Ndungulile.
Kama wakina nani? ili tulinganishe kama tumepigwa au laa
 
Na huu ndio upumabvu wa TZ, kuendesha kila kitu kisiasa.

Janabi anaweza kuwa mzuri kitaaluma lakini sidhani ana exposure ya kuweza kuweka ushindani kimataifa. Angemuacha hapa hapa aendelee kutengeneza contents za memes tu kuhusiana na vyakula.

Nina hakika kuna wasomi wengi TZ wenye exposure, weledi na competence ya kuweza kushika nafasi ya Ndungulile.
Unaandika haya ukiwa ni daktari au mtanzania tu wa kawaida?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rasmi Profesa Mohammedi Janabi amepewa baraka na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amempata baraka za kugombea ukurugenzi wa WHO kwa niaba ya Tanzania kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt Faustine Ndugulile aliyefariki Dunia huko India.
Acha kuharibu Uzi wa watu
 
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia

Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

View attachment 3173647
Safi sana mama Samia.

Ni raisi bora kabisa, ila, kwanini unaruhusu watekaji wakuchafue? Hebu wazuie mara moja.

Najua ukisema tu kuanzia leo mtu asitekwe, haiwezi kutokea.

Fanya hivyo mkuu Dr. Samia. Wewe ni mama mwema tena wa kiislamu.
 
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia

Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

View attachment 3173647
WHO wenyewe wanasemaje?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rasmi Profesa Mohammedi Janabi amepewa baraka na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amempata baraka za kugombea ukurugenzi wa WHO kwa niaba ya Tanzania kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt Faustine Ndugulile aliyefariki Dunia huko India.
Sijaona ububujikwe na machozi bwana Luca
 
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia

Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

View attachment 3173647
Hiyo nafasi sio tuu inahitaji Mtaalamu Bali mtu mwenye weledi wa Kisiasa na Kiongozi.
 
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia

Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

View attachment 3173647
Huko hakuna TAMISEMI na msimamizi wa uchaguzi siyo Mchengerwa. Wasubiri za uso
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rasmi Profesa Mohammedi Janabi amepewa baraka na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amempata baraka za kugombea ukurugenzi wa WHO kwa niaba ya Tanzania kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt Faustine Ndugulile aliyefariki Dunia huko India.
Mkuu unajua kuwa hata kama mtu ni makini/muhimu/anayejielewa kiasi gani ukimsifia kwa chochote unampotezea hiyo thamani yake? Kuna watu wanadharauliwa kwa sababu yako. Mimi ningekuwa mwanasiasa ningekupiga bani kunitaja kwa lolote.
 
Back
Top Bottom