Rais Samia ampendekeza Profesa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO-Afrika

Ndugu zangu Watanzania,

Rasmi Profesa Mohammedi Janabi amepewa baraka na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amempata baraka za kugombea ukurugenzi wa WHO kwa niaba ya Tanzania kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt Faustine Ndugulile aliyefariki Dunia huko India.
Sina ndugu mjinga kama wewe hata kwenye ukoo wetu sidhani kama atatokea
 
Na huu ndio upumbavu wa TZ, kuendesha kila kitu kisiasa na kumlimbikizia mtu mmoja kila fursa.

Janabi anaweza kuwa mzuri kitaaluma lakini sidhani ana exposure ya kuweza kuweka ushindani kimataifa. Angemuacha hapa hapa aendelee kutengeneza contents za memes tu kuhusiana na vyakula.

Nina hakika kuna wasomi wengi TZ wenye exposure, weledi na competence ya kuweza kushika nafasi ya Ndungulile.
 
Ni vema na Yeye tukasikia kama maono yake yanavuka mipaka ya nchi ama la

Kwa Dr Ndugulile nilimsikia January Makamba akielezea namna Faustine Ndugulile alivyoutamani Ukurugenzi wa WHO

Tunaweza Sisi kutamani aende ikawa kama tunamlazimisha kisha tukakuta anarejea Kimya Kimya kama yule Naibu wa UN

Ahsanteni Sana 😂
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rasmi Profesa Mohammedi Janabi amepewa baraka na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amempata baraka za kugombea ukurugenzi wa WHO kwa niaba ya Tanzania kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt Faustine Ndugulile aliyefariki Dunia huko India.
Na hapati lile zali halirudi mara mbili

Ova
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rasmi Profesa Mohammedi Janabi amepewa baraka na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amempata baraka za kugombea ukurugenzi wa WHO kwa niaba ya Tanzania kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt Faustine Ndugulile aliyefariki Dunia huko India.
Wewe lini utapatiwa kitengo uache kusumbua humu?
 
Back
Top Bottom