Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi somaTANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Rasmi Profesa Mohammedi Janabi amepewa baraka na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ambapo amempa baraka za kugombea ukurugenzi wa WHO kwa niaba ya Tanzania kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt Faustine Ndugulile aliyefariki Dunia huko India.
Rasmi Profesa Mohammedi Janabi amepewa baraka na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amempata baraka za kugombea ukurugenzi wa WHO kwa niaba ya Tanzania kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt Faustine Ndugulile aliyefariki Dunia huko India.
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi somaTANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi somaTANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
What if WHO wasipofanya uchaguzi? Ameshasoma katiba yao inasemaje pale mteuliwa anapofariki kabla ya kuanza kazi? Je, wakipendekeza aliyeshika namba 2 ndiye aapishwe?