Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Huyo jamaa kuna tetesi aliweka mkono wake juu ya JPM ndio maana CDF aliyepita wakaamua kumhamishia Mzena, Je ni kweli? Kwanini hachunguzwi? asije akafika huko halafu siri zikavujishwa akaabika akiwa kwenye majukumu ya kimataifa.Janabi amefanya kazi Marekani kabla ya kurudishwa nchini enzi za JK ambapo aliwarudisha diasporas wengi wamsaidie baadhi ya sekta. Pia amesoma na kufanya kazi nchi kama Japan na ulaya kwa muda mrefu.
Exposure gani unazungumzia mkuu.
Kwanini rais asimame hadharani kumpendekeza mtu wakati nafasi inataka kushindanishwa ? Kuna machapisho gani yapo WHO ambayo wakiyarejerea itathibitika anawazidi wengi kadhaa?
Huu ni upendeleo wa wazi kwa kada wa CCM