Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Yep. Tanzania ni kitu gani cha maana unaweza kupata bila kupitia CCM au ufisadi?kwa ni hiyo kazi anatoa CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yep. Tanzania ni kitu gani cha maana unaweza kupata bila kupitia CCM au ufisadi?kwa ni hiyo kazi anatoa CCM?
Muhimbili (by then Dar Es Salaam medical school then mwaka 1968 ikawa faculty of medicine of university of Dar Es Salaam) goes a way back Prof. Janabi akiwa kijana mdogo.Kipindi Janabi anasoma Udaktari Tanzania Kulikuwa hakuna Chuo cha Udaktari Usiptoshe Mkuu
Kuna yule Dr aliyeteuliwa siku chache zilizopita kuwa Mkurugenzi mtendaji wa MOIKama wakina nani? ili tulinganishe kama tumepigwa au laa
Kumbe hata humjui yule hana CV kaliKuna yule Dr aliyeteuliwa siku chache zilizopita kuwa Mkurugenzi mtendaji wa MOI
Ndio CCM imeamua hivyo hutaki amia BurundiNafasi hizi kumbe si za utashi wa mtu?
Mpaka apendekezwe na Rais wa nchi?
Hakuna form za kujaza, hii nafasi inahitajika na wengi na mimi nikiwemo!
Kwa hiyo kama sijapendekezwa na Mh.Rais sina pa kutokea?
Hii Taarifa Yako.Sio Kweli..Muhimbili (by then Dar Es Salaam medical school then mwaka 1968 ikawa faculty of medicine of university of Dar Es Salaam) goes a way back Prof. Janabi akiwa kijana mdogo.
Graduate wa Kwanza MD Muhimbili wamemaliza mwaka 1974. Sasa niambie kama mwaka 1974 tayari Janabi alikuwa ameshakuwa daktari.
Endelea mkuu.Hii Taarifa Yako.Sio Kweli..
Muhimbili Ilianzishwa Mwaka 1963..
Ikiwa Inaitwa Dar es salaam Health College ikiwa Chini ya Princess Margaret Hospital ambayo sasa Hivi ndo inatambulika Kama Hospitali ya Muhimbili Back then kabla ya Hapo ilifahamika kama Dar es salam Genereal Hospital kabla ya Princess margaret hajajichagulia Jina..
Imeanza Ikiwa na watu 10 Tu tena walkuwa wanasoma Medical Assistant au Uganga..
Na Usisahau Ilianzishwa ili Kutrain licensed non-degree medical practitioners...
Mwaka 1968 wakaamua Waikuze ndo ikawa ni Kitengo cha Tiba Chini ya Chuo kikuu cha Dar es salaam..
Na hapo ndo ikaanza Kutoa Baadhi ya Course huku ikiendela Kutoa Kozi ya Uganga na Sio MD..
Cohot Ya Kwanza ya Mujimbili Ilitoka mwaka 1974 ndo kina Mr. William Clement Mfuko kama Unamfahamu..
Ila Janab Kamaliza MD ujerumani Mwaka 1989
UCHAWA wake umepitiliza hadi anakosa utu. Anatetea hadi watekaji? Anatetea uchafuzi wa uchaguzi ulio wazi kabisa? Yeye ni UCHAWA UCHAWA tu basi, SHAME ON HIM.Mtu mjinga kama huyo utampa kitengo Gani ambacho anaweza kukundikia strategic plan hata ya siku Moja tu na baadae akuandikie report ya utekelezaji yenye mashiko? Huyu akiingia ofisini ni kububujikwa na machozi tu muda wote! Huyu hafai hata kuongoza kikao Cha familia bro, acha kimuongoza demu wake! Mana hakuna demu mwenye akili anaweza kuwa na zezeta kama hili ambalo 24/7 litakua ni kumsifia mamake tu!
CV ya huyu mama, machapisho yake na vile vya Mohamed Yakub Janabi ni Mlima Kilimanjaro na kichuguu....Mkurugenzi wa UN-WHO Africa ni mama toka Botswana anaitwa Dr.Matshidiso Moeti.
..Jambo la kwanza tunatakiwa tukausome wasifu / CV ya Dr.Moeti.
..baada ya hapo tutafute Mtanzania mwenye CV au vigezo vinavyofanana, au kumzidi Dr.Moeti.
..mgombea wa Tanzania anapaswa abebwe na CV yake, sio ushawishi wa Tanzania au Raisi wetu.
Janabi amefanya kazi Marekani kabla ya kurudishwa nchini enzi za JK ambapo aliwarudisha diasporas wengi wamsaidie baadhi ya sekta. Pia amesoma na kufanya kazi nchi kama Japan na ulaya kwa muda mrefu.Na huu ndio upumabvu wa TZ, kuendesha kila kitu kisiasa na kumlimbikizia mtu mmoja kila fursa.
Janabi anaweza kuwa mzuri kitaaluma lakini sidhani ana exposure ya kuweza kuweka ushindani kimataifa. Angemuacha hapa hapa aendelee kutengeneza contents za memes tu kuhusiana na vyakula.
Nina hakika kuna wasomi wengi TZ wenye exposure, weledi na competence ya kuweza kushika nafasi ya Ndungulile.
Akili za ccm wanazijua wao wenyewe,sasa anafikiri WHO ni Tamisemi!!? Au Wilaya,kenge kabisa, na anampendekeza kwa nani,? USA, UN! Anafikri wazungu wanamsikiliza na kumtilia maanani,kwanza wanamuona kama kilaza tu!Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
View attachment 3173647
Hiyo nafasi sio kama Ile ya Bure uliyoipata!Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
View attachment 3173647
Ndugu-Lile si alipitia hapo Mhim-bili kabla ya kupaishwa kuelekea In-dia?Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt. Faustine Ndugulile kufariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Zaidi soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Pia soma
- Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
View attachment 3173647
Delila achana naye,atawalamba wengiNdugu-Lile si alipitia hapo Mhim-bili kabla ya kupaishwa kuelekea In-dia?
Dots connected.....cartel at work
Tumezoea vyeo vya kuridhi, hata hiki tunaona pia ni rahisi kukipata,Na hapati lile zali halirudi mara mbili
Ova