Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Huyo jamaa kuna tetesi aliweka mkono wake juu ya JPM ndio maana CDF aliyepita wakaamua kumhamishia Mzena, Je ni kweli? Kwanini hachunguzwi? asije akafika huko halafu siri zikavujishwa akaabika akiwa kwenye majukumu ya kimataifa.Janabi amefanya kazi Marekani kabla ya kurudishwa nchini enzi za JK ambapo aliwarudisha diasporas wengi wamsaidie baadhi ya sekta. Pia amesoma na kufanya kazi nchi kama Japan na ulaya kwa muda mrefu.
Exposure gani unazungumzia mkuu.
Kujitoa tu kwenye jumuhiya za kipumbavu...mfano mahskama za kibiashara zinazotumia na mafisadi ya kizungu kutufisadi kuwa tumeshindwa kesi tulipe mabilioniKwahiyo?
Janabi amefanya kazi Marekani kabla ya kurudishwa nchini enzi za JK ambapo aliwarudisha diasporas wengi wamsaidie baadhi ya sekta. Pia amesoma na kufanya kazi nchi kama Japan na ulaya kwa muda mrefu.
Exposure gani unazungumzia mkuu.
kuendesha kila kitu kisiasa na kumlimbikizia mtu mmoja kila fursa.
nenda wewe ukagombee ewe joka la mdimuNitafurahi sana akikosa hiyo nafasi
Kuongoza mtaa tu umeshindwa anaanzaje kumfurahia anaegmbea kuongoza bara zima.Nitafurahi sana akikosa hiyo nafasi
Mwashambwa anadhani ni kama walivyoiba uchaguzi au kutumia TPF, hiyo ni international institution Haina blaa blaa ATI mama ametufikia ya nyoko! Address her as a president achana na mambo ya social attachment kwenye uongozi unahitaji Haki na wajibu na sio prevelege!..Mkurugenzi wa UN-WHO Africa ni mama toka Botswana anaitwa Dr.Matshidiso Moeti.
..Jambo la kwanza tunatakiwa tukausome wasifu / CV ya Dr.Moeti.
..baada ya hapo tutafute Mtanzania mwenye CV au vigezo vinavyofanana, au kumzidi Dr.Moeti.
..mgombea wa Tanzania anapaswa abebwe na CV yake, sio ushawishi wa Tanzania au Raisi wetu.
Naomba kujua Dr Ndugulile alipendekezwa na nani kugombea hiyo nafasi?
Wewe unaongoza nini Mkuu? Sayar ya jupiter au site tupo hapa hapa katika aridhi ya Tanganyika?Kuongoza mtaa tu umeshindwa anaanzaje kumfurahia anaegmbea kuongoza bara zima.
Vizuri, why sasa hivi tunateua kwanini watu wasijitokeze Serikali iwape sapoti kama ilivyo utaratibu?..Ndugulile hakupendekezwa.
..aliona hiyo nafasi akajitathmini kwamba anatosha, akaomba serikali imuunge mkono.
..kwa nafasi hiyo mgombea lazima aungwe mkono na serikali ya nchi anakotokea.
Usiwapangie watu maneno ya kuandika, Kama mtu ameandika na hajatukana wewe unapata shida wapi ?Mwashambwa anadhani ni kama walivyoiba uchaguzi au kutumia TPF, hiyo ni international institution Haina blaa blaa ATI mama ametufikia ya nyoko! Address her as a president achana na mambo ya social attachment kwenye uongozi unahitaji Haki na wajibu na sio prevelege!