USD 30m walizolipwa wahindi kwa madai ya kusimamia mifumo TANESCO na pesa kwa Blair hazina uhusiano na hiyo miradi.Amekopa trillion 7.7 ili kumalizia miradi ya huyo marehemu wenu. Laasivyo haitaisha hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USD 30m walizolipwa wahindi kwa madai ya kusimamia mifumo TANESCO na pesa kwa Blair hazina uhusiano na hiyo miradi.Amekopa trillion 7.7 ili kumalizia miradi ya huyo marehemu wenu. Laasivyo haitaisha hiyo
Acha utaahira wewe mpiga zumari!Bi Mkubwa amekopa TRILIONI 7.7 within 4 months. It's means akikaa hadi 2025 atakuwa amekopa almost TRILIONI 100.
Pia waziri huyo wa fedha wa Tanzania alifika katika Kasri ya Al Watan (Qasr Al Watan) na kuwasilisha Salaam kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kwenda kwa mwana wa mfalme wa Abu Dhabi His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan aliye pia naibu amiri jeshi mkuu wa majeshi (Crown Prince of Abu Dhabi and Deputy Supreme Commander of the Armed Forces).Source : Kwa kirefu : (Habari na Picha ,Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - Wizara ya Fedha na Mipango-Abu Dhabi)
……………………………………………….
Na Benny Mwaipaja, Abu Dhabi
SERIKALI ya nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu ya Abu Dhabi imeahidi kuendeleza ushirikiano katika masuala ya kiuchumi na kijamii na Serikali ya Tanzania ili kuwaletea wananchi wake maendeleo.
Ahadi hiyo imetolewa mjini Abu Dhabi, Falme za Nchi za Kiarabu na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri anayeshughulikia masuala ya Rais, Sheikh Mansour bin Zayed Al Nanyan, baada ya kupokea ujumbe maalum kutoka kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uliowasilishwa kwake na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Ikulu ya nchi hiyo.
Akizungumza baada ya mazungumzo yao ya faragha, Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema kuwa Sheikh Mansour ameahidi kutuma ujumbe maalum nchini Tanzania kwa ajili ya kuangalia miradi mbalimbali ya kimkakati inayotekelezwa hivi sasa na mingine mipya kwa ajili ya kutoa fedha.
Dkt. Nchemba aliitaja miradi iliyowasilishwa kwa Serikali ya Abu Dhabi kuwa ni ile ya uendelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha Nishati ya Umeme wa Mwalimu Julius Nyerere JNHPP Rufiji, ujenzi wa miundombinu ya barabara, viwanja vya ndege, kilimo na uvuvi pamoja na elimu.
“Kwenye sekta ya elimu tumejenga madarasa mengi, tumejenga vituo vya afya vingi sana na vingine viko vijijini lakini hatujajenga nyumba za watoa huduma wanaotakiwa kufanyakazi kwenye maeneo hayo” alisema Dkt. Nchemba.
Ni Bora kuliko Magu alituibia Trillion 1.5 mpaka leo hatujui iko wapiUSD 30m walizolipwa wahindi kwa madai ya kusimamia mifumo TANESCO na pesa kwa Blair hazina uhusiano na hiyo miradi.
Both team to scoreKwa hiyo Bi Mkubwa TOZO anafuta, au?
Ndu"gay Ni mnafiki mmoja wakupuuzwaJana nilisambaa video ikimuonesha Spika Job Ndugai akitoa kauli zilizofanya watu wahoji nia yake dhidi ya Serikali iliyopo madarakani.
Katijka hali ya kushangaza, Spika Ndugai ambaye alikuwa mmoja wa wapiga zumari wakubwa wa Serikali iliyopita, alionekana kukandia mikopo inayokopwa na Serikali kwa ajili ya maendeleo ya watu. Mfano akizungumzia mkopo wa Trilioni 1.3 ambao Serikali imekopa kutoka IMF, Ndugai amesema ni "Mikopo mikubwa mikubwa isiyoeleweka". Ndugai alishangaa kitendo cha Serikali "KUPIGA MAKOFI" baada ya kupokea mikopo hiyo, akisema kwamba mwaka 2025 watu wataamua kama watapenda kuwa na Serikali inayokopa kopa.
RAIS SAMIA 'AMPIGA"
Akihutubia baada ya kushuhudia utiwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa SGR kipande cha Makutopora hadi Tabora , Rais Samia amesema kuna jitihada kubwa za kumvunja moyo katika mikopo, na akatoa hoja za kueleweka kueleza kwa nini tunakopa.
Rais amesema lazima tuendelee kukopa kwa sababu:
1. Tuna miradi ya matrilioni ambayo ilishaazishwa na lazima tuitekeleze kwa wakati. Alitolea mfano wa SGR kwamba ni uwekezaji wa trilioni zaidi ya 14, hivyo hatuwezi kusubiri ni lazima tukope kutekeleza.
2. Mikopo inayotolewa ni mikopo nafuu. Hili linaijibu hoja ya Ndugai aliyejaribu kuonesha kwamba deni la Taifa halistahimiliki akitia chumvi kwamba ipo siku "NCHI ITAPIGWA MNADA". Rais Samia amesema tunatafuta mikopo nafuu akisema kubwa ni uwezo wa kushawishi
3. Kukopa ni kawaida. Tanzania inakopa tangu enzi na enzi, Marais wote walikopa huku Rais aliyepita (Magufuli) akikopa zaidi kwa kuangalia kipindi alichokaa madarakani (Ndugai alikuwa anashangilia tu).
VIDEO (kwa hisani ya @mamayukokazini) HIYO HAPO CHINI
Ndugai Ni team sukuma gang, dawa mama apige chini masalia yote ya magufuliMagufuli alikopa zaidi ya trillion 30 peke yake ndani ya miaka 5 tu, lakin Huyo Ndugai hakuongea kitu. Lakin huyu mama amekopa trillion 1.3 Ndugai anapiga kelele kila mahali!
Ndugai ni Spika Ndugu...Ndugai Ni team sukuma gang, dawa mama apige chini masalia yote ya magufuli
Nadhani wewe Ni mtoto wa Juzi!Ndugai ni Spika Ndugu...
Bungeni ndio mahali Sukuma Gang wananguvu... umeona mama yenu alivopanic leo...
Na Subirini bunge lazima hii serikali ikwame
Kabakiza kuchapisha minoti ili na sura ya mwanamke iwemo.Bi Mkubwa amekopa TRILIONI 7.7 within 4 months. It's means akikaa hadi 2025 atakuwa amekopa almost TRILIONI 100.
Amenda Nazo kaburini?Magufuli alikopa zaidi ya trillion 30 peke yake ndani ya miaka 5 tu, lakin Huyo Ndugai hakuongea kitu. Lakin huyu mama amekopa trillion 1.3 Ndugai anapiga kelele kila mahali!
Miradi haitaikamilika, mihela itatokomea, kitakachobaki ni mzigo madeni makubwa kama ya DRC.Amekopa trillion 7.7 ili kumalizia miradi ya huyo marehemu wenu. Laasivyo haitaisha hiyo
Miradi haitaikamilika, mihela itatokomea, kitakachobaki ni mzigo wa madeni makubwa kama ya DRC.Amekopa trillion 7.7 ili kumalizia miradi ya huyo marehemu wenu. Laasivyo haitaisha hiyo
Wewe wasema.. mikataba imeisha sainiwa na watu wapo site. Kwanini isiishe?Miradi haitaikamilika, mihela itatokomea, kitakachobaki ni mzigo madeni makubwa kama ya DRC.
Ameiba trillion 1.5Amenda Nazo kaburini?