Pre GE2025 Rais Samia ampigia simu Kuhani Mussa na kumuahidi mchango wa Tsh. Milioni 100 ujenzi wa kanisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!

Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!

=====

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na mchungaji kiongozi Kuhani Musa amepiga simu na kuongea na mchungaji pamoja na waumini wa Kanisa hilo huku akiwatakia heri ya mwaka mpya 2025.

Kwa vimbwanga na vituko kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha Rais Samia ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mia moja katika ujenzi wa kanisa hilo unaoendelea.

Your browser is not able to display this video.

 
habari ndio hiyo, ujenzi lazima uendelee
 
Kodi zetu zinatumika kiboya sana. Mwaka huu lazima form zaidi ya moja zihusike,
 
Hao lao moja kuwaibia na kuwapumbaza wananchi kuwa umaskini unaotengenezwa na mafisadi ni kazi ya Mungu. Si angetoa fedha hiyo kujenga lau kanisa. Je rais anapata wapi hiyo fedha anayomwaga mwanga kila mara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…