Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Nimegundua hawa manabii wa uongo ni wapiga dili na ccm/serikali ili kuwapumbaza watu na hii ni kutoka dini zote na madhehebu yote ndiyo maana kila anayeingia madarakani yupo nao sambamba.
Hilo halifanyiki kwa bahati mbaya bali ni mipango inayoratibiwa na vyombo vyetu kwa lengo la kuibeba ccm itawale milele na tena siyo huko tu hata kwenye michezo mipango ni hiyo hiyo sema wananchi wenyewe ndiyo hivyo hatujitambui.