Pre GE2025 Rais Samia ampigia simu Kuhani Mussa na kumuahidi mchango wa Tsh. Milioni 100 ujenzi wa kanisa!

Pre GE2025 Rais Samia ampigia simu Kuhani Mussa na kumuahidi mchango wa Tsh. Milioni 100 ujenzi wa kanisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waitoe wapi ofisi? Pesa yote anaipiga huyo wanayemuita mwamba wa utafunaji fedha.
Unateseka na mbowe ukiwa wapi mkuu nafikiri uko lupaa chunya au mulongo isenyi bila shaka pole sana na hata bando huwa ni shida kwako kwenye jamvii hili unaingia mwaka mara moja
 
usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na mchungaji kiongozi Kuhani Musa amepiga simu na kuongea na mchungaji pamoja na waumini wa Kanisa hilo huku akiwatakia heri ya mwaka mpya 2025.
Ibada zinaendeshwa na simu za watumishi zikiwa on!! Ibada za miaka hii zina mambo
 
Back
Top Bottom