Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na mchungaji kiongozi Kuhani Musa amepiga simu na kuongea na mchungaji pamoja na waumini wa Kanisa hilo huku akiwatakia heri ya mwaka mpya 2025.
Aidha Rais Samia ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mia moja katika ujenzi wa kanisa hilo unaoendelea.
View attachment 3189696