hata Sweden,Denmark ...developed world for that matter, wapo, lakini hawana kutapanya hela hii kama anavyofaya huyu mama
Weka hapa nyaraka za jengo lile lililofaniwa maigizo kuwa linazinduliwa. Kama jina la jengo siyo la tapeli wa Machame nipigwe banUnateseka na mbowe ukiwa wapi mkuu nafikiri uko lupaa chunya au mulongo isenyi bila shaka pole sana na hata bando huwa ni shida kwako kwenye jamvii hili unaingia mwaka mara moja
Na misaada kwa Tanzania. Usisahau.Pia nchi hizo hutoa ruzuku kwa mashirika ya kidini. Lakini kwa utaratibu uliowekwa rasmi
Wewe hutaki achangie Kanisa wakati waumini na Mchungaji wameomba? Akili zingine ni shida sana!!Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na mchungaji kiongozi Kuhani Musa amepiga simu na kuongea na mchungaji pamoja na waumini wa Kanisa hilo huku akiwatakia heri ya mwaka mpya 2025.
Aidha Rais Samia ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mia moja katika ujenzi wa kanisa hilo unaoendelea.
View attachment 3189696
Wewe nani mpaka utake nyaraka za chama kisichokuhusu umesoma lakini unakopi akili za vijiwe vya kahawa mbowe siyo saizi yako unadhubutu nini wakati hata balozi wako hakujui uko mbali mno pole yakoWeka hapa nyaraka za jengo lile lililofaniwa maigizo kuwa linazinduliwa. Kama jina la jengo siyo la tapeli wa Machame nipigwe ban
Kuna jamaa mwisho anashangilia kama mbwa anabweka.Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na mchungaji kiongozi Kuhani Musa amepiga simu na kuongea na mchungaji pamoja na waumini wa Kanisa hilo huku akiwatakia heri ya mwaka mpya 2025.
Aidha Rais Samia ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mia moja katika ujenzi wa kanisa hilo unaoendelea.
View attachment 3189696
Wewe ni zaidi ya chawa wa Mbowe, kama siyo hawara yake basi utakuwa mkewe.Wewe nani mpaka utake nyaraka za chama kisichokuhusu umesoma lakini unakopi akili za vijiwe vya kahawa mbowe siyo saizi yako unadhubutu nini wakati hata balozi wako hakujui uko mbali mno pole yako
Wewe nani mpaka utake nyaraka za chama kisichokuhusu umesoma lakini unakopi akili za vijiwe vya kahawa mbowe siyo saizi yako unadhubutu nini wakati hata balozi wako hakujui uko mbali mno pole yakoWeka hapa nyaraka za jengo lile lililofaniwa maigizo kuwa linazinduliwa. Kama jina la jengo siyo la tapeli wa Machame nipigwe ban
Wewe umesoma lakini huna akili hili jukwaa la wasomi na kushangaa sana mbowe namweshimu kwakuwa ni kiongozi anayeongoza taasisi kubwa hapa Tanzania duniani inamtambua nawaheshimu viongozi wote hata mwenyekiti wa vicoba nawaheshimu siyo wewe unamdhihaki mtu ambaye hata nusu ya robo yake hutakaa uyafike jitambuwe mipasho kama hizo wenzako walisha hama hukoWewe ni zaidi ya chawa wa Mbowe, kama siyo hawara yake basi utakuwa mkewe.
Acha mastori, wewe kama siyo chawa basi utakuwa hawara/mke wa Mbowe.Wewe umesoma lakini huna akili hili jukwaa la wasomi na kushangaa sana mbowe namweshimu kwakuwa ni kiongozi anayeongoza taasisi kubwa hapa Tanzania duniani inamtambua nawaheshimu viongozi wote hata mwenyekiti wa vicoba nawaheshimu siyo wewe unamdhihaki mtu ambaye hata nusu ya robo yake hutakaa uyafike jitambuwe mipasho kama hizo wenzako walisha hama huko
Akemee uku mwenyewe mpenda vya bule kuchangisha pesa watu ili yeye amiliki gari tena la kifahari kila mtu anatamani kumiliki gari japo paso yeye anatamani mshangingi na pesa ana!! LISU KIMEO uyo usimtaje. Domo kubwa.Lissu akikemea anaoitwa mropokoji.
Chawa!A
Akemee uku mwenyewe mpenda vya bule kuchangisha pesa watu ili yeye amiliki gari tena la kifahari kila mtu anatamani kumiliki gari japo paso yeye anatamani mshangingi na pesa ana!! LISU KIMEO uyo usimtaje. Domo kubwa.
Wewe nakuambia tena umesoma lakini huna akili huna hata aibu wa maneno uwazayo kimtokacho mtu ndicho kimejaa moyoni mwako amka usingiziniAcha mastori, wewe kama siyo chawa basi utakuwa hawara/mke wa Mbowe.
Wangepewa waislam mimacho ingekutoka zaid. Acheni watanzania wote ni sawa mama anagawa upendo kwa wote au mnataka mpewe nyinyi tu.Samia Mungu anakuona kuwapa hao matapeli kodi zetu
Ni sadak sio rushwa 🤣🤣Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na mchungaji kiongozi Kuhani Musa amepiga simu na kuongea na mchungaji pamoja na waumini wa Kanisa hilo huku akiwatakia heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa vimbwanga na vituko kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Rais Samia ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mia moja katika ujenzi wa kanisa hilo unaoendelea.
View attachment 3189696
Wanamichuki pengine lenyewe ilo la Yesu lkn limechefukwa. Je ingekuwa mama katoa kwa msikiti!!!Wewe hutaki achangie Kanisa wakati waumini na Mchungaji wameomba? Akili zingine ni shida sana!!
Hakuna hela itakayotoka hapo porojo tu hizo kifupi ni mambo za siasa kukuza fanbase kuelekea uchaguziTapanya hela wakati wajawazito wanakufa kukosa 150,000 hospitali za serilaki, shule kama hiyo hapa pichani
View attachment 3189705
Siasa siasani. Mwaka wa kusaka kura popote na vyovyote.Wakuu,