Pre GE2025 Rais Samia ampigia simu Kuhani Mussa na kumuahidi mchango wa Tsh. Milioni 100 ujenzi wa kanisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimegundua hawa manabii wa uongo ni wapiga dili na ccm/serikali ili kuwapumbaza watu na hii ni kutoka dini zote na madhehebu yote ndiyo maana kila anayeingia madarakani yupo nao sambamba.
Hilo halifanyiki kwa bahati mbaya bali ni mipango inayoratibiwa na vyombo vyetu kwa lengo la kuibeba ccm itawale milele na tena siyo huko tu hata kwenye michezo mipango ni hiyo hiyo sema wananchi wenyewe ndiyo hivyo hatujitambui.
 
Acha ujinga rushwa kuchangia Ujenzi wa kanisa
 
Hivi hawa watu wote huwa wanalipwa kwenda huko? Enyi watu wa dar naomba kufaham. Maana kila kuhani/nabii/Mchungaji anajaza tu.

Kuna umuhimu wa kuhamia dar na kuw mchungaji.
 
 

2 Wafalme 16:11-12
Naye Uria kuhani akajenga madhabahu; sawasawa na yote aliyomletea mfalme Ahazi kutoka Dameski; ndivyo alivyoifanya Uria kuhani iwe tayari atakaporudi mfalme Ahazi kutoka Dameski.

Na mfalme aliporudi kutoka Dameski, mfalme akaiona ile madhabahu; mfalme akakaribia madhabahuni, na kutoa sadaka juu yake.


Ufunuo 5:10​

ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
2 Wafalme 16
11 Naye Uria kuhani akajenga madhabahu; sawasawa na yote aliyomletea mfalme Ahazi kutoka Dameski; ndivyo alivyoifanya Uria kuhani iwe tayari atakaporudi mfalme Ahazi kutoka Dameski.

12 Na mfalme aliporudi kutoka Dameski, mfalme akaiona ile madhabahu; mfalme akakaribia madhabahuni, na kutoa sadaka juu yake.
 
Uchaguzi huo 2025, kipindi cha mavuno.
 
Hii sio rushwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…