una ubongo mdogo sana yaani barabara hizo mbili ndo zimekuvuruga ..kweli tuna safari ndefu sana .Hujui kitu ila unapayuka tuu..
Wewe ndio ulitoa pes za kujenga Barabara ya Tunduma Sumbawanga?
Au wajomba zako ndio wlitoa pesa za kujenga Barabara ya Songea Masasi?
Au wewe ndio Huwa unatoa pesa za malaria,kifua Kikuu,ukimwi na chanjo?
Pumbavu,hapo umeona Barabara tuu? Unajua hata gharama yake au unaropoka tuu?una ubongo mdogo sana yaani barabara hizo mbili ndo zimekuvuruga ..kweli tuna safari ndefu sana .
Wewe unavyohisi sisi tunashindwa kujenga barabara kwa pesa zetu ...nenda kasome report ya CAG kwanza ndo ubishane na Mimi.
Hakunaga msaada wa bure na hujawahi tokea popote pale.Hakuna anaeshangilia upotevu ila Kwa nini ukatae pesa sasa
Sasa Msaada wa bule upo ilimradi tuu vigezo na masharti kuzingatiwa..Hakunaga msaada wa bure na hujawahi tokea popote pale.
Eti vyandarua na ARVS ndo ushangilie ..manina Africa ni ujinga sana.Pumbavu,hapo umeona Barabara tuu? Unajua hata gharama yake au unaropoka tuu?
Kua na Aibu,Eti programu zinazohusiana na demokrasia...hivi wazungu wanatuonaje .
Wameshindwa kutoa misaada kumaliza umasikini wapo busy na demokrasia uchwara.
Katika maeneo mengine sina shida, hasa ya kiuchumi na kisiasa. Lakini eneo la msaada wa kijamii na la wanawake, halafu yakichagizwa na maneno matamu ya suala zima la usimamizi mzuri wa demokrasia kidogo hapo nina "zoom" ili kuzidi kujionea.
Bila hivyo ungeshakuwa umefukiwa kitambo,unajua gharama yake au unaropoka tuu.Eti vyandarua na ARVS ndo ushangilie ..manina Africa ni ujinga sana.
Wapi wamesema unapata Msaada wa kumaliza umaskini?Kua na Aibu,
Marekani ikakupe misaada ya kumaliza umaskini wakati ripoti ya CAG ikitoka mmefanya ubadhilifu mkubwa wa pesa za Umma na hamkemei lolote ila suala la ushoga ndio mnakaza shingo
Kiufupi tu ngozi nyeupe awe mzungu ,mchina sijui mwarabu wote hao wana malengo yao na rasirimali zetu hayo mengine ni mbwembwe tu ...eti unashangilia ngozi nyeupe eti demokrasia.Sasa Msaada wa bule upo ilimradi tuu vigezo na masharti kuzingatiwa..
China ilipowjengea Tazara uliwapa nini?
Kwa hiyo kama babu Yako alikufa hoja Yako ni gani?Kiufupi tu ngozi nyeupe awe mzungu ,mchina sijui mwarabu wote hao wana malengo yao na rasirimali zetu hayo mengine ni mbwembwe tu ...eti unashangilia ngozi nyeupe eti demokrasia.
Mtu aliyeuwa mabubu zetu ana demokrasia gani.
Poor Africa.
Nimeku quote wewe au ndio wazimu?Wapi wamesema unapata Msaada wa kumaliza umaskini?
Harafu unapinga Msaada au hoja uko ni ipi hasa?
Mzungu hana msaada na wewe ..nimemaliza.Kwa hiyo kama babu Yako alikufa hoja Yako ni gani?
Ndio huo Msaada amekuwa akitoa na Bajeti ya Nchi Yako 30% ni Msaada wa mzungu.Mzungu hana msaada na wewe ..nimemaliza.
Shida mnapenda kila kitu msaidiwe na mna madini kila kona .Bila hivyo ungeshakuwa umefukiwa kitambo,unajua gharama yake au unaropoka tuu.
Umewahi gundua Madini wewe au Hadi mzungu aseme? πππShida mnapenda kila kitu msaidiwe na mna madini kila kona .
Poor Africa.
si hamna akili acha awape msaada na achukue Mali.Ndio huo Msaada amekuwa akitoa na Bajeti ya Nchi Yako 30% ni Msaada wa mzungu.
Aliyegundua Tanzanite alikuwa ni nani ..wee jamaa bhana.Umewahi gundua Madini wewe au Hadi mzungu aseme? πππ