ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Najua upo Brazil kwenye majukumu yako
Japo viongozi wengine wa nchi zingine wakitaka kukupa salamu za pole inakuwa ngumu maana haupo nchini.
Ingekuwa busara zaidi usingesafiri ukabaki hapa tufatilie Kwa pamoja ajali hii, ila naheshimu mawazo yako
Watu na majeruhi ni wengi, mh Rais wetu amru bendera ipepee nusu mlingoti tuomboleze kitaifa
Wakati huo amru njia na mbinu Bora zaidi za uokoaji