Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sio account yake, ya kwake ni @powersabaya sasa hivi sio power tena ni joka la kibisaHivi huyu kuku anajiamini nini au ni maneno ya mkosaji?View attachment 1783778
Nah. I'll pass. I just admire them from a distance. Am not looking for trouble. 🏃🏽♀️Am even darker and I look this good plus 6’2 are you in??
Mmeyataka wenyewe kwa kufuga majambaziAisee....! Zama Za Kuzomewa Pale K'koo Ukionekana Umevaa Kijani Zinarudi Kwa Kasi.....!
Shida ya uchagani hawataki kabila jingine. Tangu siasa, kanisani, msikitini, Biashara, kila sehemu. Samia anataka kuwadekeza, atajutaRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
RC Kilimanjaro Anna Mghwira alaani wahuni walioshambulia msafara wa Tundu Lissu
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira ameshutumu vikali kitendo kilichofanywa na vijana wahuni wanaodaiwa kukodiwa na kuushambulia kwa mawe msafara wa mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu. Mkuu huyo wa mkoa alitoa kauli hiyo wakati akimjibu Mkuu wa KKKT dayosisi ya Kaskazini Askofu Shoo...www.jamiiforums.com Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni
Watu watatu waliokuwa wakimfuatilia mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ndg. James Mbatia wakiwa na gari aina ya Toyota Prado namba DFP 788 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mjini Moshi jana saa 10 alasiri eneo la KDC baada ya Polisi kufukuzana na gari hilo na kufanikiwa...www.jamiiforums.com Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd. Pia soma...www.jamiiforums.com Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya. Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka...www.jamiiforums.com Uchaguzi 2020 - Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...www.jamiiforums.com
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
Siyo Social media tu kama wengi tunavyodhani, mamlaka za serikali nazo zipo kazini.Nafasi ya UDC sio ya kudumu. Haina maajabu kutumbuliwa. Hahitaji gross misconduct kutumbuliwa. Ni ili mradi mamlaka za uteuzi haziridhishwi na wewe.
Kama aliwahi kumvimbia RC basi haikubaliki.
Ila jamani social media imekuwa na nguvu sana awamu ya sita.
Ndugai kesho anaamka na wale Covid 19Ndani ya masaa 4 uzi umechangiwa na watu 732 kuonyesha Ni jinsi gani Sabaya alikua hapendwi.
Sabufa Jobo ndugu-yai angekua na akili angejifunza kitu. Lkn Alyep na chalimilya..
Kama uchunguzi utafanyika huru bila kuingiliwa kesi za kila namna zitamhusu. Atafunguliwa kesi hata 100. Hatapona. Na ndiyo mtego ulipo. Na hiyo kamati ya uchunguzi ijiangalie vizuri maana mama atakuwa na data zote za ukweli. Wakipindisha watakiona cha motoAkili za kuambiwa changanya na zako, Mama SSH (Sasha) kaambiwa na akachanganya na zake sasa anasubiri uchunguzi ili amkate mtu kichwa au amsamehe.😁
Hakuna cha Sukuma, sema wachaga hatutaki makabila mengineWhat a beautiful news!!!!
Mungu anaendelea kusafisha SUKUMA GANG
Tucheze heheheheeeHii inastahili kabisa kuitwa zawadi ya Idd kwa watanzania
Kumbe wapo kimkakati. Basi kuna vitu vingi sana tunawasaidia kulalamika kumbe wenzetu wanajua wanachofanya.
Kwenye huu uzi nilijua tu nitatajwa.Emmanuel Kasomi ngapiii hukooo?
Wewe hukua MATAGA? wacha nifungue makaburiTunashukuru sana Mama kwa kuondoa yule mwehu wilayani Hai.
Hakika Mama umekuja kutufuta machozi.
Sasa arudi uswahili tupambane vizuri. Bila STL wala ulinzi.
HahahaaaMaza na mwendakuzimu marehemu dikiteta magufuli ni kitu kimoja wale.
Na DC wa ausha, kihongosi nae atumbuliweBaada ya kumfyatua Sabaya,sasa ni zamu ya wakuu wa wilaya wenye mabega marefu,afuate Yule Kitwala Komanya wa Tabora Mjini, hana tofauti na Sabaya kagombana na kila mtu na haelewani na katibu Tawala mkoa.
Halafu yule DC wa Kilolo nae ni kero kwa watumishi na wananchi.
Halafu DC wa Gairo