Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021

Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo


Habari ndo hiyo

Nawatakia Eid Njema.

====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha

Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

CHAMA: CCM

#NA SASA KAZI IMEANZA#


TAARIFA ZA ELIMU YAKE


SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.

FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.

OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.

CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.

CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE

SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL

YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010

CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014

Shida ya uchagani hawataki kabila jingine. Tangu siasa, kanisani, msikitini, Biashara, kila sehemu. Samia anataka kuwadekeza, atajuta
 
Ndani ya masaa 4 uzi umechangiwa na watu 732 kuonyesha Ni jinsi gani Sabaya alikua hapendwi.
Sabufa Jobo ndugu-yai angekua na akili angejifunza kitu. Lkn Alyep na chalimilya..
 
Nafasi ya UDC sio ya kudumu. Haina maajabu kutumbuliwa. Hahitaji gross misconduct kutumbuliwa. Ni ili mradi mamlaka za uteuzi haziridhishwi na wewe.
Kama aliwahi kumvimbia RC basi haikubaliki.
Ila jamani social media imekuwa na nguvu sana awamu ya sita.
Siyo Social media tu kama wengi tunavyodhani, mamlaka za serikali nazo zipo kazini.
Aliyepita inadaiwa alipendelea watu wa aina hiyo, hivyo haikuwa rahisi kwake kupokea ushauri wa aina hii.
Kwa vyovyote vile ofisa usalama wa wilaya, mkuu wa polisi wilaya, TAKUKURU nk, wote walikuwa wanaona vitendo vyake.
 
Ndani ya masaa 4 uzi umechangiwa na watu 732 kuonyesha Ni jinsi gani Sabaya alikua hapendwi.
Sabufa Jobo ndugu-yai angekua na akili angejifunza kitu. Lkn Alyep na chalimilya..
Ndugai kesho anaamka na wale Covid 19
 
Akili za kuambiwa changanya na zako, Mama SSH (Sasha) kaambiwa na akachanganya na zake sasa anasubiri uchunguzi ili amkate mtu kichwa au amsamehe.😁
Kama uchunguzi utafanyika huru bila kuingiliwa kesi za kila namna zitamhusu. Atafunguliwa kesi hata 100. Hatapona. Na ndiyo mtego ulipo. Na hiyo kamati ya uchunguzi ijiangalie vizuri maana mama atakuwa na data zote za ukweli. Wakipindisha watakiona cha moto

Kichwa ya Sabaya imekatwa. Leta Mvinyo
 
Kesho bia, kuku na mbuzi vitateketea kudherehekea kibaraka kung'olewa.
Sabai utaiweka wapi sura yako?
Ulitumiwa Kama mpini tu kuwaumiza watu wa kwenu.
 
Tunashukuru sana Mama kwa kuondoa yule mwehu wilayani Hai.

Hakika Mama umekuja kutufuta machozi.

Sasa arudi uswahili tupambane vizuri. Bila STL wala ulinzi.
 
1620937605903.png
 
Tunashukuru sana Mama kwa kuondoa yule mwehu wilayani Hai.

Hakika Mama umekuja kutufuta machozi.

Sasa arudi uswahili tupambane vizuri. Bila STL wala ulinzi.
Wewe hukua MATAGA? wacha nifungue makaburi
 
Baada ya kumfyatua Sabaya,sasa ni zamu ya wakuu wa wilaya wenye mabega marefu,afuate Yule Kitwala Komanya wa Tabora Mjini, hana tofauti na Sabaya kagombana na kila mtu na haelewani na katibu Tawala mkoa.

Halafu yule DC wa Kilolo nae ni kero kwa watumishi na wananchi.

Halafu DC wa Gairo
Na DC wa ausha, kihongosi nae atumbuliwe

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom