ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Sio jambazi hicho ni cheo kidogoSabaya ni Jambazi,uchunguzi ufanyike haraka aingie lupango kwa usalama wake.
Hakuna chumvi. Tena bado hayajaibuliwa yote. Kuna tetesi za ubakaji na ulawiti. Kwenye uchunguzi yataibuka yote. Muda utasemaInawezekana baadhi kweli ila si yote kuna mda Binadamu sababu ya chuki kua nyingi tunaongeza chumvi
Rahaaa utamu,utamu rahaaa[emoji12][emoji12]Akitumbuliwa wewe unapata faida ipi?
Kwani mkuu kikawaida ukishapigwa tatu sifuri si kama tu umenyeshewa?Uliona wapi mtu alienyeshewa na kulowa akawa na fujo au makelele?
Ile ilikuwa ni vita ya kishetani vs Mungu na sisi tulioamua kuchagua upande wa Mungu tumeshinda vita ile.Ninyi mliochagua upande wa dhuluma mwisho wenu umekuwa ni aibu kwa hiyo yapasa mtulie na mtubu.
Nahis ni mtu yule atakae kuwa na akili kama zaoNani anawapa dhamana za umma watu wa aina hii?
Kauli ya binamu wa shetwani, Wallah!!! SADDIST!!!!Akiharibu Mali za watu na biashara zao wewe ulipata faida gani??
Kahaba mwenyewe. Nachojua jpm alijua kuwanyoosha.Naona kahaba la Sabaya unahangaika kumtetea
Bado OC D wake aliempa bunduki usiku kuranda mitaani....kupora mali za wafanuabiasharaTumpe hata 20 asafishe panya road wote atuachie nchi ya furaha na amani. Ameanza vizuri na panya road Sabaya. Nchi ilirindima kwa furaha.
Tutasaidiana na Mama kuiondoa CCM madarakani.huo ni mtazamo wenu kwamba mmeshinda,sisi hatujui kama kulikuwa na mashindano.
leo mnasema mmeshinda,ccm imeondoka madarakani!!!
au ni mwendelezo wa kujifariji tu??
Nimekumiss we mtuWakimfukuza wanakuwa wamemhukumu na hivyo kupata escape route, lengo la kumsimamisha ni ili kumkondesha kwanza, na aonyeshe network yake yote na hatimaye ajinyonge, mwenyewe
Mtu sahihi kwenu kusadiana naye alikuwa Magufuli,huyu mama kairusha kwa wenyewe.Tutasaidiana na Mama kuiondoa CCM madarakani.
Hii tamu sana aseee kumbe ndio maana amepoa ?? Duuuu safi sanaaaa....jeuri yake lazima aliwe alimtukana JKSisi huku iringa Happi alitaka kuleta za sabaya tulimbeba usiku tukaenda kumlaza makaburini.toka siku hiyo anasalmia mpaka watoto
Zamu yenu kunyoroshwa,tulia sindano iingie,ukitikisika itavunjikiaKahaba mwenyewe. Nachojua jpm alijua kuwanyoosha.
CV yake haitoshi kuwa Mkuu wa Wilaya huyu! Ndio maana alivurunda sana! Hakustahili kabisa!Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
RC Kilimanjaro Anna Mghwira alaani wahuni walioshambulia msafara wa Tundu Lissu
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira ameshutumu vikali kitendo kilichofanywa na vijana wahuni wanaodaiwa kukodiwa na kuushambulia kwa mawe msafara wa mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu. Mkuu huyo wa mkoa alitoa kauli hiyo wakati akimjibu Mkuu wa KKKT dayosisi ya Kaskazini Askofu Shoo...www.jamiiforums.com Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni
Watu watatu waliokuwa wakimfuatilia mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ndg. James Mbatia wakiwa na gari aina ya Toyota Prado namba DFP 788 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mjini Moshi jana saa 10 alasiri eneo la KDC baada ya Polisi kufukuzana na gari hilo na kufanikiwa...www.jamiiforums.com Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd. Pia soma...www.jamiiforums.com Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya. Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka...www.jamiiforums.com Uchaguzi 2020 - Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...www.jamiiforums.com
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
Mkuu tusiwasingizie wachaga huyu ni mkuu wa mashetani. NI zaidi ya shetani tulikuwa tunaona kupitia mitandao ya kijamii wachaga hapo wanahusikaje dhidi ya unyama huu? Je, akikufanyia wewe utakaa kimya kisa siyo mchaga?Hakuna cha Sukuma, sema wachaga hatutaki makabila mengine