Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Kwani mkuu kikawaida ukishapigwa tatu sifuri si kama tu umenyeshewa?Uliona wapi mtu alienyeshewa na kulowa akawa na fujo au makelele?

Ile ilikuwa ni vita ya kishetani vs Mungu na sisi tulioamua kuchagua upande wa Mungu tumeshinda vita ile.Ninyi mliochagua upande wa dhuluma mwisho wenu umekuwa ni aibu kwa hiyo yapasa mtulie na mtubu.

huo ni mtazamo wenu kwamba mmeshinda,sisi hatujui kama kulikuwa na mashindano.
leo mnasema mmeshinda,ccm imeondoka madarakani!!!
au ni mwendelezo wa kujifariji tu??
 
huo ni mtazamo wenu kwamba mmeshinda,sisi hatujui kama kulikuwa na mashindano.
leo mnasema mmeshinda,ccm imeondoka madarakani!!!
au ni mwendelezo wa kujifariji tu??
Tutasaidiana na Mama kuiondoa CCM madarakani.
 
Sisi huku iringa Happi alitaka kuleta za sabaya tulimbeba usiku tukaenda kumlaza makaburini.toka siku hiyo anasalmia mpaka watoto
Hii tamu sana aseee kumbe ndio maana amepoa ?? Duuuu safi sanaaaa....jeuri yake lazima aliwe alimtukana JK
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021

Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo


Habari ndo hiyo

Nawatakia Eid Njema.

====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha

Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

CHAMA: CCM

#NA SASA KAZI IMEANZA#


TAARIFA ZA ELIMU YAKE


SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.

FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.

OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.

CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.

CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE

SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL

YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010

CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014

CV yake haitoshi kuwa Mkuu wa Wilaya huyu! Ndio maana alivurunda sana! Hakustahili kabisa!
 
Hakuna cha Sukuma, sema wachaga hatutaki makabila mengine
Mkuu tusiwasingizie wachaga huyu ni mkuu wa mashetani. NI zaidi ya shetani tulikuwa tunaona kupitia mitandao ya kijamii wachaga hapo wanahusikaje dhidi ya unyama huu? Je, akikufanyia wewe utakaa kimya kisa siyo mchaga?
Acha kutumika kichwa ya sabaya imekatwa
 
Back
Top Bottom