Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kituo chako cha kazi kilimanjaro,haiKwani ile list ya Wauza ngada mwenyekiti hakuwepo??
Utulivu ikisikilizwa taarifa ya kunyolewa mtu.Tuwe watu wa kutumia akili na kuacha ushabiki usio na kichwa wala miguu.
Makamanda wenzangu mngelianza kushangilia kama Sabaya angekuwa amefutwa kazi. Sasa amesimamishwa kupisha uchunguzi makelele kila kona
Kwani ile list ya Wauza ngada mwenyekiti hakuwepo??
Kuna impossibles, this is one of them. I am sure mama kuchukua hatua hiyo amejiridhisha kuwa kuna ukweli mkubwa katika tuhuma zinazomkabili now she wants it to be official through offical meansTuwe watu wa kutumia akili na kuacha ushabiki usio na kichwa wala miguu.
Makamanda wenzangu mngelianza kushangilia kama Sabaya angekuwa amefutwa kazi. Sasa amesimamishwa kupisha uchunguzi makelele kila kona
Hapana nataka kujua upande wa pili wa story, kwanini aliumiza hao watu...kwanini hao watu wawe weak point kwa serikali...hata Hitler alisema alifanya alichofanya kuwa protect wajerumani...Kwa hiyo mkuu wewe ulitaka mtu kama Sabaya mwenye tuhuma lukuki za kuumiza watu aendelee kuwa mkuu wa wilaya...au sio!!
vipi bandarini juzi kati hapa.Kuna impossibles, this is one of them. I am sure mama kuchukua hatua hiyo amejiridhisha kuwa kuna ukweli mkubwa katika tuhuma zinazomkabili now she wants it to be official through offical means
Alikuwa anathubutu hata kwenda kumbaka mtu hotelini? Isitoshe msanii na kuna CCTV? Alihisi jamii ingemchukuliaje? Nahisi ubabe mwingi wa kupiga watu kuna watu ('wanyonge' na 'maskini' wenye chuki na matajiri) walikuwa wanadanganyika kuuona ni halali maana waliaminishwa kuwa watu wanaoumizwa wanastahili maana wanaibia nchi au wao mali zao. Ila mtu unaenda kujaribu kubaka mtu na unaenda na kundi la wahuni wakakusaidie kukushikia mikono na miguu? Anastahili adhabu kubwa sana kama ni kweli.Hapana Mkuu kwa Sabaya alivuka mipaka mkuu....imagine mtu anaenda hotelini anataka aende Kumbandua Nandy kinguvu(CCTV) zipo ,anatumia genge la wahuni kupora mali za watu (CCTV) zipo,anatumia Plate number za UN kufanya matukio ya uhalifu ,amewahi kukamatwa kwa kutapeli kwa kudanganya yeye ni TISS.....Alienda kuvamia hotel ya mbowe na kuwakamata watalii ndani.
Mbona Abubakar Kunembe anafanya operation nyingi za kufuata sheria lakini chadema hawajawahi kulalamika sehemu yeyote? Kunembe akitaka kukamata wahamiaji haramu basi ataenda na watu wa uhamiaji ,akitaka kukamata wasiolipa kodi ataenda na polisi pamoja na watu wa TRA ila SaaMbovu anaenda na Kikundi cha wahuni aliowaokota mtaani na kwenda kupora kinguvu.
Ana tuhuma gani huyu shujaa wa HAI?Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
RC Kilimanjaro Anna Mghwira alaani wahuni walioshambulia msafara wa Tundu Lissu
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira ameshutumu vikali kitendo kilichofanywa na vijana wahuni wanaodaiwa kukodiwa na kuushambulia kwa mawe msafara wa mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu. Mkuu huyo wa mkoa alitoa kauli hiyo wakati akimjibu Mkuu wa KKKT dayosisi ya Kaskazini Askofu Shoo...www.jamiiforums.com Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni
Watu watatu waliokuwa wakimfuatilia mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ndg. James Mbatia wakiwa na gari aina ya Toyota Prado namba DFP 788 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mjini Moshi jana saa 10 alasiri eneo la KDC baada ya Polisi kufukuzana na gari hilo na kufanikiwa...www.jamiiforums.com Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd. Pia soma...www.jamiiforums.com Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya. Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka...www.jamiiforums.com Uchaguzi 2020 - Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...www.jamiiforums.com
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
Nina wilaya yangu ipo na inanisubiri, vipi wee sabaya khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unavyoshangilia kama izo nafasi utateuliwa wewe mkuu
Na mie niliwaza hivyo tena, [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtoto alikuwa anachezea simu yangu
We mwanamke umeelewa alichoandika sabaya?Akitumbuliwa wewe unapata faida ipi?