Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Tuwe watu wa kutumia akili na kuacha ushabiki usio na kichwa wala miguu.

Makamanda wenzangu mngelianza kushangilia kama Sabaya angekuwa amefutwa kazi. Sasa amesimamishwa kupisha uchunguzi makelele kila kona.

1620990840825.png

 
Tuwe watu wa kutumia akili na kuacha ushabiki usio na kichwa wala miguu.

Makamanda wenzangu mngelianza kushangilia kama Sabaya angekuwa amefutwa kazi. Sasa amesimamishwa kupisha uchunguzi makelele kila kona
Utulivu ikisikilizwa taarifa ya kunyolewa mtu.
 
Tuwe watu wa kutumia akili na kuacha ushabiki usio na kichwa wala miguu.

Makamanda wenzangu mngelianza kushangilia kama Sabaya angekuwa amefutwa kazi. Sasa amesimamishwa kupisha uchunguzi makelele kila kona
Kuna impossibles, this is one of them. I am sure mama kuchukua hatua hiyo amejiridhisha kuwa kuna ukweli mkubwa katika tuhuma zinazomkabili now she wants it to be official through offical means
 
Kwa hiyo mkuu wewe ulitaka mtu kama Sabaya mwenye tuhuma lukuki za kuumiza watu aendelee kuwa mkuu wa wilaya...au sio!!
Hapana nataka kujua upande wa pili wa story, kwanini aliumiza hao watu...kwanini hao watu wawe weak point kwa serikali...hata Hitler alisema alifanya alichofanya kuwa protect wajerumani...
 
Kama mambo yote haya ni kweli yalifanyika chini ya utawala uliopita japo sio mm niopitia haya
Kwakweli nasema tu mungu ni mwema na karma is real
 
Kuna impossibles, this is one of them. I am sure mama kuchukua hatua hiyo amejiridhisha kuwa kuna ukweli mkubwa katika tuhuma zinazomkabili now she wants it to be official through offical means
vipi bandarini juzi kati hapa.

mtuhumiwa yeyote ni wajibu kuchunguzwa,unapokiwa mtumishi wa uma lazima usimamishwe kazi kwanza.

ndugu zetu wamefumuka na yowe kama vichaa.
 
Hapana Mkuu kwa Sabaya alivuka mipaka mkuu....imagine mtu anaenda hotelini anataka aende Kumbandua Nandy kinguvu(CCTV) zipo ,anatumia genge la wahuni kupora mali za watu (CCTV) zipo,anatumia Plate number za UN kufanya matukio ya uhalifu ,amewahi kukamatwa kwa kutapeli kwa kudanganya yeye ni TISS.....Alienda kuvamia hotel ya mbowe na kuwakamata watalii ndani.

Mbona Abubakar Kunembe anafanya operation nyingi za kufuata sheria lakini chadema hawajawahi kulalamika sehemu yeyote? Kunembe akitaka kukamata wahamiaji haramu basi ataenda na watu wa uhamiaji ,akitaka kukamata wasiolipa kodi ataenda na polisi pamoja na watu wa TRA ila SaaMbovu anaenda na Kikundi cha wahuni aliowaokota mtaani na kwenda kupora kinguvu.
Alikuwa anathubutu hata kwenda kumbaka mtu hotelini? Isitoshe msanii na kuna CCTV? Alihisi jamii ingemchukuliaje? Nahisi ubabe mwingi wa kupiga watu kuna watu ('wanyonge' na 'maskini' wenye chuki na matajiri) walikuwa wanadanganyika kuuona ni halali maana waliaminishwa kuwa watu wanaoumizwa wanastahili maana wanaibia nchi au wao mali zao. Ila mtu unaenda kujaribu kubaka mtu na unaenda na kundi la wahuni wakakusaidie kukushikia mikono na miguu? Anastahili adhabu kubwa sana kama ni kweli.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021

Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo


Habari ndo hiyo

Nawatakia Eid Njema.

====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha

Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

CHAMA: CCM

TAARIFA ZA ELIMU YAKE


SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.

FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.

OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.

CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.

CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE

SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL

YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010

CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014

Ana tuhuma gani huyu shujaa wa HAI?
 
Ndiyo maana Lema aliona heri akimbilie uhamishoni,sasa cha moto watakipata na haya maelezo yanatoka Msoga ngoja wasambaratike na siasa zao za kishamba
 
Back
Top Bottom