Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Duh! Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Ila usitegemee sana matendo haya ya Mama. Naye ni zao la mfumo uleule. Sifu kwa tahadhari.
 
vipi bandarini juzi kati hapa.

mtuhumiwa yeyote ni wajibu kuchunguzwa,unapokiwa mtumishi wa uma lazima usimamishwe kazi kwanza.

ndugu zetu wamefumuka na yowe kama vichaa.
Huyo harudi ishakua pancha daima
 
Nebukadneza ametupwa Mwituni huko atakula nyasi miaka 7
 
Kama hayo yaliyoandikwa ni ya kweli kwa huyo jamaa basi hakustaili kuwepo apo muda mrefu manake ayo ndo yanajulikana mengi yatakua hatuyajui
 
Basi ndugu zangu nimekoma mieee.

Sioni uzuri wake tenaaaaa jamani. Hana uzuri wowote kuanzia sasa hivi namg'ong'a niliona picha yakeeeee.

Nimekoma ndugu zangu inatoshaaaa.
achana kabisa na hilo lijambarika
 
... hivi jitu kama hili lilipataje madaraka?
 
Haki itapatikana japokuwa inaweza kucheleweshwa, tunamshukuru Mungu
 
Jamaa amekuwa jambazi muda mrefu huku akijiita TISS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…