Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Izidishwe chumvi ili isaidie nini? Wewe unataka kumtetea Sabaya wakati hata kwa sura hujawahi kumuona! Sisi watu wa Arusha tunamjua physical kabla hata hajapata huo ukuu wa wilaya, na alipoupata na umungu alijipa. Hivi hujiulizi kwanini watu wote waseme wewe mbaya? Kwanini sio wengine? Tanzania Ina wakuu wa wilaya zaidi ya 120.. kwanini yeye tu?
Achana na huyo hahitaji hata kuwa na elimu ya Darasa la saba kuhoji kwa nini anachukiwa. Matendo ya mtu huendana nae
 
Tanzania ilitupwa kwenye mikono ya shetani. Mungu alimuua shetani Mkuu na sasa sisi tuwaue vishetani vilivyosalia.
 
Hawa
IMG-20210514-WA0031.jpg
 
Mungu katenda lililo jema kwa mwendazake. Aliharibu na kunajisi mifumo yote ya Uongozi kwenye Nchi yetu. Angeendelea kwa miongo mingine sijui Nchi ingekuwa ktk hali gani???
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021

Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo


Habari ndo hiyo

Nawatakia Eid Njema.

====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha

Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

CHAMA: CCM

TAARIFA ZA ELIMU YAKE


SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.

FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.

OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.

CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.

CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE

SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL

YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010

CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014

Mie nasubiri uchunguzi, lakini kawaida siridhiki na chunguzi au mihemko. Sheria zibadilishwe suala la DC/RC kuwa na uwezo wa kumueka mtu ndani 48 ni sawa na kumpa chizi rungu mbele kuna vioo. Sioni sababu ya kuwa na mahakama ikiwa kuna njia za mkato za watu kutoa hukumu!
 
Mtu kama huyu bado kuna watu wanamkingia kifua lakini sio ajabu kwani hata Hitler alikuwa na wapambe. Kama huyu hatafungwa jela basi hakuna hata sababu ya hizo jela kuwepo.
 
Back
Top Bottom