Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Haiyumkini wewe ni mnufaika muhimu wa madhila ya huyo sabaya wako! Ama utakuwa nyumbandogo au baunsa wake!
Yaani kwa akili zako timamu unashangilia na kuuhusudu ubazazi wa jambarka Hilo? Pytuuuuh! Nimekudharau na kukutema Kama tope la ugoro!
Who cares?
 
Anayo mengi sana club za usiku za Arusha tumeshuhudia hayo madanga
Sabaya Kuna Maisha fulani hivi ya kijana akiwa na miaka 20-30 inaonekana Kama hakupitia hivi au alipitia lakini hakufaidi. Siku moja hivi mwaka juzi , aligombea dem Pin Point Arusha mshamba sana huyu
 
Lipuuzi hili!!!! Lililia sana mwendazake alipoondoka. Ila Mbowe mbona anachelewa kudai fidia ya greenhouse?
 
Lipuuzi hili!!!! Lililia sana mwendazake alipoondoka. Ila Mbowe mbona anachelewa kudai fidia ya greenhouse?
 
Lipuuzi hili!!!! Lililia sana mwendazake alipoondoka. Ila Mbowe mbona anachelewa kudai fidia ya greenhouse?
 
Kama ni kweli ,Sabaya Hata usipofungwa utakuja kufa kifo Cha aibu Sana,why kuwapa WATU wa mungu mizigo mizito ambazo sio za kweli wakati wewe unaendelea vimbisha mashavu , na kuishi Maisha ya raha ,jiandae asema bwana na imekua
Wewe una uhakika gani kama siyo kweli

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Sabaya kuteketezwa huku akijiona mithili ya swala anayeliwa na Mbwa mwitu , kimsingi habari yake ndio imemalizika na imekwisha kabisa , mengine yatakayofuata juu yake yatakuwa ni vibwagizo tu .

Sasa swali jipya la kujiuliza ni hili , Ni nani mwingine miongoni mwa Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa atayefuatia kuonyeshwa Mlango wa kutokea ? Tunazo taarifa kwamba msululu ni mrefu , bali wako waliokaa kibra , huku wengine wakiwa kwenye foleni .

Je ni nani mwenye bahati ya kufunguliwa mlango wa kutokea atakayemfuata Sabaya ?

Your browser is not able to display this video.
 
Walitenguliwa Kina Kitwanga na Lugola sembuse huyu Sabaya🙄🙄🙄 Kama kuteuliwa kupo kutenguliwa nako kupo vilevile

Kazi iendelee
Endelea kupiga pambio mama utakuja kujua hujui pindi ukion tumaini limepotezwa na chunusi. Ni kawaida ya mbwa akijifungua kumtafuna mwanae wa kwanza.

Kwa hiyo wewe unalinganisha makosa ya Kitwanga (Ulevi na ubabaishahi wa majibu bungeni) na Lugola (kucheza midundiko, suala la Lugumi na usimamishaji wa kibali cha kiongozi asasi) ni sawa na ya Ole Lengai? Wait for the nod and wink by deceptive agents to outsmart your passionate unto phenomenon drill.
 
Inaumiza sana jmn
 
Avatar yako inasadifu hivyo kisha mwisho wake wewe kuwa kinyago cha mpapure
 
Kama ni kweli ,Sabaya Hata usipofungwa utakuja kufa kifo Cha aibu Sana,why kuwapa WATU wa mungu mizigo mizito ambazo sio za kweli wakati wewe unaendelea vimbisha mashavu , na kuishi Maisha ya raha ,jiandae asema bwana na imekua
Haki tena hii ni zaidi ya hatari[emoji22][emoji848]

Bashite hamfikii hata roboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…