Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Duuuu! It pain VERY much
 
Ndiyo maana Lema aliona heri akimbilie uhamishoni,sasa cha moto watakipata na haya maelezo yanatoka Msoga ngoja wasambaratike na siasa zao za kishamba
Sabaya ni jambazi kama majambazi wengine tu
 
Pamoja na yoote uliyoyaeleza afikii uprimitive wa bashite hata robo.
 
Kama alishiriki kuchoma shule Ikizu aliposoma atashindwa vipi kuchomoa silaha
 
So sad
 
Na Wengine wadogo!
 
Kama ameshamtoa dikteta Mbowe haina shida.

Watu wa Hai hawatarudi tena kanani
Pole sana mkuu, uwe unakunywa maji kwa wingi wakati ukitumia dawa. Sala ni muhimu pia! Kuhusu kanani, Biblical speaking, ni eneo la kwenda, siyo kutoka! Wenzako wanasemaga “hawatarudi misri”!
 
Huyu SABAYA ana akili sawa kweli, mbona ni kama jambazi? Sasa huyu scientist philosopher ndo alikuwa anawapenda watu kama hawa?
 
Naomba unisaidie kujua hili;
Hivi wale aliokuwa anaambatana nao na Bunduki kubwa kubwa ni Polisi au wahuni wa mitaani?
Yale ni majambazi aliyo shirikiana nayo kupora na kuiba mali/pesa za raia wema. Huyu mbwa anastahili kabisa kuchukuliwa hatua za kisheria. Ikibidi afilisiwe kabisa mali zake zote alizo zipata kwa njia haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…