Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Sabaya ni hazina ya nchi hii. ni kijana mzalendo anaepigania maslahi ya taifa.

Chuki yake imetengenezwa na wafanya magendo wakichaga.
 

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake -​

Replies # 1308 tangu Alhamisi. Mama amewakonga moyo kweli kweli ndugu zetu Watanganyika
 
Kazi yako ni kutetea majambazi kama Sabaya na JPM?
 
Sabaya ni hazina ya nchi hii. ni kijana mzalendo anaepigania maslahi ya taifa.

Chuki yake imetengenezwa na wafanya magendo wakichaga.

Tunamjua dogo hana uzalendo wowote, kwa nini RC ntibenda hakuwa na uhasama na hao wachaga tena mtu wa mbali kabisa kutoka kigoma
 
Sabaya Kuna Maisha fulani hivi ya kijana akiwa na miaka 20-30 inaonekana Kama hakupitia hivi au alipitia lakini hakufaidi. Siku moja hivi mwaka juzi , aligombea dem Pin Point Arusha mshamba sana huyu
Mkuu Sabaya ni kijana Mdogo mbona. Kama ana mika mingi kwa sasa ni 34
 
Pole mtegemezi! Huwezi kuishi bila kuajiriwa. Ndio maana mnaloga ili mng'ang'anie na kufia kwenye ofisi za umma huku mkiwaambia watoto wa wenzenu wakajiajiri huku ilihali ninyi huko ccm mkishindwa kujiajiri!
Sijapenda hii tabia yako ya kumsifia mtu aliyeharibu mifumo yote ya ajira nchi hii kwa tabia yake ya kuajiri kwa upendeleo Tena watu wa kabila lake tu!
 
Kwendraaaaa tangu lini mimi nikawa mtumishi wa serikali?
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
 
Hivi mnapata wapi ujasiri wa kumtisha mwenyekiti wenu wa chama na mliye mchagua kwa 100% ya kura zote? Hili tangazo tangu jana mnalisambaza pasipo na hofu yoyote ile!

ID's mpya! Zinamtetea jambazi sugu Ole Sabaya! Hajawatuma kweli nyinyi? Sema ukweli! Amewalipa kiasi gani mpaka sasa? Ili muisaidie Takukuru. Maana hizo hela anazo wahonga, amewapora watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…