mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Sabaya ni hazina ya nchi hii. ni kijana mzalendo anaepigania maslahi ya taifa.Huyu jamaa kiufupi na bila kuficha ni moja kati ya mashetani wakubwa kuwahi kutokea nchi hii
Katesa watu sana, kaandaa magenge yake ya uporaji na unyanganyi na kufanya ubabe usio na maana Arusha na Moshi.
Walinzi wa mbowe walibambikiwa kesi za ugaidi na uhujumu uchumi, hadi leo wanaozea gerezani, kwa kifupi huyu mtu alitakiwa apelekwe mahakamani na ahukumiwe haraka sana
Habari ya kujificha kwenye uzalendo wa kutetea chama huku ukiumiza watu wasiokua na hatia nayo ni ushamba wa huyu dogo,
Chuki yake imetengenezwa na wafanya magendo wakichaga.