Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Mbunge wa Hai ni Saashisha siyo Mbowe tena.

Asante sana Sabaya
 
HUNA JEURI YA KUMNYAMAZISHA RAIS WA JMT NA AMIRI JESHI MKUU WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA.

Wewe ni sawa na chawa kichwani kazi yake ni kunyonya damu.
Zamu yenu imekwisha sasa tiwachieni sisi tujenge nchi yetu.
 
Kwiiiishaaaaaa kazi yenu nyinyi sukuma gang mtalia sana safari hiii
 
Hiyo ndiyo kazi ya jambazi anatumia nguvu nyingi sana kumdhihaki rais wa nchi.
 
Rubbish
Eti ccm ndio priority! Are you serious?
Unajitambua kweli?
Tz ni ya WaTz sio Wanaccm upo?
Ninyi ndio mnaopotosha
Kwamba wewe umeona ambalo Mama hajaliona?
Rudi ukajipange upya
 
Manina zenu lazima mrudi makwenu huko,na mkicheza mtaliwa viboga
Nàmshukuru sana Mungu maana kwa yalivyokuwa tunalia machozi kila kukicha kwa mateso tuliyo kuwa tunapewa na hawa majahili.

Leo hii Mungu katenda miujiza mkuu sasa wanalia wao .
Kweli hii ni dunia ya mola na tenda wema siku zote maana huijui kesho yako.
 
Kughushi KITAMBULISHO cha TISS siyo KOSA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…