Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sabaya amefukuzwa au amesimamishwa kazi?Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
😁😁😁 msiwalaumu sana ni zamu yao kuanza kulalamikaSukuma gang katika ubora wenu 😀😀
Magoti too late, atakumbana na TAKUKURU mpya ya CP Hamduni, ataliwa kichwa paaap, ndio ajue damu ya watu mbaya sanaOle sabaya ndugu kwa sasa upo peke yako...system ishakutema - ukizubaa unakula miaka kweli ohooo.... kapige magoti kwa maza fasta!!
Sukuma gang katika ubora wenu 😀😀
hata kuachiwa kazi yake ni sehemu ya haki pia.Haina haja ya kumtete Sabaya kwa Rais kwa sasa
Mengi yameongelewa, mengi yameonekana sasa Wacha uchunguzi ukamilike apewe kilicho haki yake
HUNA JEURI YA KUMNYAMAZISHA RAIS WA JMT NA AMIRI JESHI MKUU WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA.Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Kwiiiishaaaaaa kazi yenu nyinyi sukuma gang mtalia sana safari hiiiNipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Wanapata taabu sanaSukuma gang katika ubora wenu [emoji3][emoji3]
Hiyo ndiyo kazi ya jambazi anatumia nguvu nyingi sana kumdhihaki rais wa nchi.Hivi mnapata wapi ujasiri wa kumtisha mwenyekiti wenu wa chama na mliye mchagua kwa 100% ya kura zote? Hili tangazo tangu jana mnalisambaza pasipo na hofu yoyote ile!
ID's mpya! Zinamtetea jambazi sugu Ole Sabaya! Hajawatuma kweli nyinyi? Sema ukweli! Amewalipa kiasi gani mpaka sasa? Ili muisaidie Takukuru. Maana hizo hela anazo wahonga, amewapora watu!
RubbishNipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Nàmshukuru sana Mungu maana kwa yalivyokuwa tunalia machozi kila kukicha kwa mateso tuliyo kuwa tunapewa na hawa majahili.Manina zenu lazima mrudi makwenu huko,na mkicheza mtaliwa viboga
Kumbe utekaji ni "kazi maalum" ya ccm?Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama
Sabaya hawezi kurudishwa tena kwenye ofisi zilizojengwa na fedha za umma ili ahudumu kwa watanzania.Kwani sabaya amefukuzwa au amesimamishwa kazi?
Nadhani ni hatua nzuri akisafishwa itakua vizuri sana
Kughushi KITAMBULISHO cha TISS siyo KOSA?Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.