antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mleta mada hajui kuwa wakati yeye anategemea porojo za Fb na vijiweni, rais anapata taarifa rasmi za kiintelijensia dailyRubbish
Eti ccm ndio priority! Are you serious?
Unajitambua kweli?
Tz ni ya WaTz sio Wanaccm upo?
Ninyi ndio mnaopotosha
Kwamba wewe umeona ambalo Mama hajaliona?
Rudi ukajipange upya
Nikipata muda nitaandaa thread kuwaelezea hawa watu.Ok mkuu funguka kidogo iyo nguvu ipo vipi Hata Kama ni asili ,na inafanyaje KAZI Kama utajali lakin
Tanzania kuna watu wawili usiwaguse kwa ubaya. Kama utawaonea jua utapotea na utachukiwa na kila mtu ukigombana na hao watu hata kama wao hawatakujibu ila wana nguvu ya asili ya kushinda vita (psychic ability to win every obstacles) na watu hao ni Askofu Gwajima na Freeman Aikaeli Mbowe.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpumbvu, kichaa na mwendawazimu mkubwa!!! Unasikika kama Ole Sabaya......Shame on you!!!Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
hata kuachiwa kazi yake ni sehemu ya haki pia.
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Heeee?![emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Sabaya ni jambazi. Halafu hamuwezi kuamini pia jamaa pamoja na ubabe wake lakini ni ubwabwa wa mbeya
Acha ujinga wewe Rais aheshimiwe!Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Raisi kasema amemsimamisha kazi ,kupisha uchunguzi dhidi yake!wewe unalalama nini!?Heshimu mamlaka ilyowekwa kwani imewekwa na Mungu.Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
ndio maana akapewa yeye pia.Ukuu wa wilaya sio kazi yake, ni kazi ya umma na yoyote anaweza kupewa kadri mteuaji atakavyojisikia.
Hiyo 80% ya wana ccm wanaosikitika Sabaya kusimamishwa hao ni ccm wale waliorithishwaNipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Hiyo 80% ya wanaccm wanaosikitika Sabaya kusimamishwa ni wale ccm waliorithishwa roho za kiintarahamwe hivyo kwao Sabaya alikuwa shujaa maana alikuwa anaumiza watu sawasawa na intarahamwe mlivyokuwa mnataka.Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Kama alivyofanya Amos Makala.....kuna atakaekuja na kumrudisha Sabaya kwenye system. Andika mahali......utanikumbuka.Jipige jipige sema Mimi ni mpumbavu
Sabaya ameteka, ameua na ushahidi uko wazi.
Hivi unapata wapi ujasiri wa kumtetea huyu jambazi?
Ona aibu kidogo.
Nkerejiwa, inabidi ujitafakari. CCM hakijawahi kuwa chama kinachoenzi ujambazi na ugaidi. Sabaya alikuwa na vyote hivyo. Mama Samia anataka kuirudisha nchi jwenye mstari wa siasa za ushindani na sio za ubabe. Chini ya mama, hutasikia akinunua wapinzani licha tu ya kutumia ugaidi. Jitafakari.Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Wewe una mtindio wa ubongo! Kumbe nyie mbwa ndio mnafurahia mateso ya upinzani? Yaani nyie amani kwenu mwiko? Mbwa nyieNipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.