Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Ok mkuu funguka kidogo iyo nguvu ipo vipi Hata Kama ni asili ,na inafanyaje KAZI Kama utajali lakin
Nikipata muda nitaandaa thread kuwaelezea hawa watu.

Tofauti kati ya hao wawili ni kuwa mmoja anajua kuhusu hiyo nguvu na anaitumia na mmoja hajui kama anayo.

Ni uwezo toka kwa Mungu na sio kuwa walipewa na watu hapana wamepewa na Mungu toka uumbwaji kila mtu ana nguvu flani ndani yake ila zinatofautiana kiwango na uelewa wa kuzitumia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Gwajiboi ni tapeli
Tanzania kuna watu wawili usiwaguse kwa ubaya. Kama utawaonea jua utapotea na utachukiwa na kila mtu ukigombana na hao watu hata kama wao hawatakujibu ila wana nguvu ya asili ya kushinda vita (psychic ability to win every obstacles) na watu hao ni Askofu Gwajima na Freeman Aikaeli Mbowe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
Wewe ni mpumbvu, kichaa na mwendawazimu mkubwa!!! Unasikika kama Ole Sabaya......Shame on you!!!

Haingii akilini hata kidogo uanze kumsakama Rais kisa kamsimamisha Lengai Ole Sabaya....huna dabu mshenx mkubwa wewe. After all huyu amesimamishwa pending uchunguzi.....sasa we hofu yako nini we bwege!!!

Hatuwezi kuendelea na DC mpuuzi anateka watu, anapora mali na fedha za watu kwa kisingizio cha Upinzani......never ever. Sidhani kama Ilani ya CCM ina maelekezo ya kihuni hivo.
Hayo yaikuwa ni maelekezo ya Hayati Jiwe ambayo hayako kwenye Ilani ya Chama wala Katiba ya Nji.
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari

DC majukumu yake ni yapi? ..... basi kama ni pamoja na chama atafutiwe kazi ndani ya chama. Kuna kanuni za kushindana kisiasa na zipo kisheria hakuna agenda za siri serikalini maana wananchi na maendeleo ni tofauti na chama ni katiba ya nchi sio katiba ya chama
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
Acha ujinga wewe Rais aheshimiwe!
 
Naona member wapya wamejaa kwenye mitandao, wapo kwenye kandarasi ya kutetea jambazi, muuaji, mtekaji, mnyanyasaji, mwenye kila aina ya uonevu!

Hii nchi ni watu wote, na viongozi waliopo lengo lao ni kuhakikisha haki inatendeka! Mama samia katenda haki katika hili! Msimpangie!

Tena mnavyozidi kuja na vihoja vyenu hapa mnazidi kumpoteza badala ya kumsaidia!
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
Raisi kasema amemsimamisha kazi ,kupisha uchunguzi dhidi yake!wewe unalalama nini!?Heshimu mamlaka ilyowekwa kwani imewekwa na Mungu.
 
Ukuu wa wilaya sio kazi yake, ni kazi ya umma na yoyote anaweza kupewa kadri mteuaji atakavyojisikia.
ndio maana akapewa yeye pia.

ikionekana hana makosa atapewa tena au atapewa nyingine.
 
And unaongea na Rais wa nchi kama unaongea na dada yako "jitafakari" unafikiri hiyo ID fake serikali wakiitaka watakukosa sasa! Kuwa na heahima kwa mamlaka ya nchi!
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
Hiyo 80% ya wana ccm wanaosikitika Sabaya kusimamishwa hao ni ccm wale waliorithishwa

Hiyo 80% ya wanaccm wanaosikitika Sabaya kusimamishwa ni wale ccm waliorithishwa roho za kiintarahamwe hivyo kwao Sabaya alikuwa shujaa maana alikuwa anaumiza watu sawasawa na intarahamwe mlivyokuwa mnataka.

Lakini ccm makini, waungwana na watanzania kwa ujumla wetu hatukuwa tunafurahia vitendo hivyo na ndio maana leo unaona tunampongeza Mama kwa kutuondolea adha hii. Na hii sio kwa Sabaya tu ni kwa wote wenye mwenendo kama wa Sabaya au wenye roho za husda kama wewe mleta hii post.
 
Kikwete alifanya siasa na akawashinda wapinzani but not that rough usidhani hakuwa na vijana wake wa kufreeze upinzani...ila Sabaya Mwendazake alipomtuma Sabaya aliona kama mpinzani hana hadhi ya uTZ msidhani hatujui rough waliyom chezea Mbowe japo Mimi nadeclare nilikuwa team Mwendazake ila kwa hili nilitofautiana naye...kufreeze vyanzo karibu vyote vya mapato vya Mbowe ,kumuondoa Bungeni wakati ile ni chumvi kwenye mboga Sabaya akiwa ni mkuu wa kumfreezisha Mbowe...na kumpa harrasment zote za duniani duhhhh kwl Mungu akisimama! Hivi Sabaya leo akikutana na Mbowe inakuwaje?..na wale aliowatesa inakuwaje?
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
Nkerejiwa, inabidi ujitafakari. CCM hakijawahi kuwa chama kinachoenzi ujambazi na ugaidi. Sabaya alikuwa na vyote hivyo. Mama Samia anataka kuirudisha nchi jwenye mstari wa siasa za ushindani na sio za ubabe. Chini ya mama, hutasikia akinunua wapinzani licha tu ya kutumia ugaidi. Jitafakari.
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
Wewe una mtindio wa ubongo! Kumbe nyie mbwa ndio mnafurahia mateso ya upinzani? Yaani nyie amani kwenu mwiko? Mbwa nyie
 
Back
Top Bottom