Kuwa mkweli kuna maana kubwa Sana katika Maisha ya mtu,sema kwa uhalisia kilichofanyika katika unachokiita ushindi.Mbowe pia out maana alikataliwa na wananchi kwenye uchaguzi mkuu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwa hivyo wanaccm ndiyo wanao amua nani asimamishwe na nani asisimamishwe kazi? AibuNipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Hao wanaccm wenzangu unaosema wamechukizwa watakuwa hawana asili ya Utanzania kwani usitegemee kuwatendea Watanzania wenzako mabaya ukabaki salama Ndugu .Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Wanajificha kwa kuwa Kila wakigeuka wanakula makonde ya usoni,Naona tuwaulize wapo pande gani wakiendelea kuteseka,angalao tuwafariji.Siwaoni mataga kwenye hii mada
Matamko yanayoashiria kutoamini katika taratibu na sheria.Nimeamini Bavicha, Bawacha na Wanaharakati wa mitandaoni mara nyingi hujenga lawama bila kujua jambo kwa undani. Chalamila ana shida gani kwenye uongozi? Wanamchukia Chalamila kwa lipi? Kwa lipi Chalamila hafai kuendelea kuwa mkuu wa mkoa au hata kupanda cheo?
Kazi alisomea wapi? mkataba wake unasoma permanent and pensionable au? hiyo ni kazi ya hisani, mamlaka ya uteuzi imeona hafai msiforce.hata kuachiwa kazi yake ni sehemu ya haki pia.
sabaya ni fala flaniSamia kafeli sana kwenye hilo
Wewe ni CCM hao wengine wanaongozwa na njaa.Haina haja ya kumtetea Sabaya kwa Rais kwa sasa
Mengi yameongelewa, mengi yameonekana sasa Wacha uchunguzi ukamilike apewe kilicho haki yake
sawa.Kazi alisomea wapi? mkataba wake unasoma permanent and pensionable au? hiyo ni kazi ya hisani, mamlaka ya uteuzi imeona hafai msiforce.
Natamani nikutukane tusi ambalo litakufanya uzimie ila basi tu.....Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
Hao wa WhatsApp na Fb si ni malaya malaya tu wa kisiasa? Hawajui urais ni taasisi? Waambie kmmmk zao. Wacha mama afanye kazi yake na huyo mbwa atafungwa tuNipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
AMENHaina haja ya kumtetea Sabaya kwa Rais kwa sasa
Mengi yameongelewa, mengi yameonekana sasa Wacha uchunguzi ukamilike apewe kilicho haki yake
Una hakikaNimeamini Bavicha, Bawacha na Wanaharakati wa mitandaoni mara nyingi hujenga lawama bila kujua jambo kwa undani. Chalamila ana shida gani kwenye uongozi? Wanamchukia Chalamila kwa lipi? Kwa lipi Chalamila hafai kuendelea kuwa mkuu wa mkoa au hata kupanda cheo?