Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
Kwa hivyo wanaccm ndiyo wanao amua nani asimamishwe na nani asisimamishwe kazi? Aibu
Yenu!!
 
Hao wanaccm wenzangu unaosema wamechukizwa watakuwa hawana asili ya Utanzania kwani usitegemee kuwatendea Watanzania wenzako mabaya ukabaki salama Ndugu .
Hili taifa limeunganishwa kwa umoja na udugu kwa hiyo malipo ni bado kwani atalipa mpaka senti ya mwisho kidhamira na kwa njia yoyote ile labda akiri matendo yake na kuomba msamaha wale wote aliowakosea.
Nakumbuka kuna Clip moja ilizunguka sana mitandaoni ile ambayo Lema alimrekodi ktk mahojiano na hakujua kama ilikuwainamrekodi .
Huyu Mwanaccm mwenzangu Sabaya hakustahili kuwa kiongozi labda kiongozi wa makundi ya kimafia kwani ile clip kwa umakini wakiongozi hakustahili
 
Genge la wahalifu, multiple IDs.
Linamtishia nyau, mama Rais 😂
Mwenyekiti mh Rais, wafukuze hawa mpaka uanachama wa chama, safishaaa!

Kutesa kwa zamu! Mkajiajiri kuchunga ng'ombe, kazi zipo nyingi vijijini.
Mmaasai aweza kuwa hata mlinzi Masaki!

Everyday is Saturday................................😎
 
Nimeamini Bavicha, Bawacha na Wanaharakati wa mitandaoni mara nyingi hujenga lawama bila kujua jambo kwa undani. Chalamila ana shida gani kwenye uongozi? Wanamchukia Chalamila kwa lipi? Kwa lipi Chalamila hafai kuendelea kuwa mkuu wa mkoa au hata kupanda cheo?
 
Matamko yanayoashiria kutoamini katika taratibu na sheria.
 
Sabaya asimwone Makonda kukaa kimya bila kuongea au kutumia kikundi chochote ktk mitandao ni mjinga.
Kukaa kimya ni moja ya kujipa akili baada ya kutafakari kwa muda kama Sabaya aliweza kutumia Redio majuzi hakusafishika zaidi ya Redio na yy kuchafuka zaidi.
Ungekaa kimya umwamba ukawaonyeshe watu wa ukoo wako kwani ndio wanaokujua zaidi tangu utotoni.
Mama kayafanya aliyoyanya kwa weledi mkubwa
 
Kwa upande wangu Sabaya ni mpambanaji sana,ila hawezi kwenda na mwendo wa mama kumbembeleza mwana
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
Natamani nikutukane tusi ambalo litakufanya uzimie ila basi tu.....
 
Hao wa WhatsApp na Fb si ni malaya malaya tu wa kisiasa? Hawajui urais ni taasisi? Waambie kmmmk zao. Wacha mama afanye kazi yake na huyo mbwa atafungwa tu
 
Rais samia nashauri aanzishe uchunguzi dhidi ya magufuli na report iweke hadharani hata kama hakuna hatua za kumchukulia mwendazake
 
Nimeamini Bavicha, Bawacha na Wanaharakati wa mitandaoni mara nyingi hujenga lawama bila kujua jambo kwa undani. Chalamila ana shida gani kwenye uongozi? Wanamchukia Chalamila kwa lipi? Kwa lipi Chalamila hafai kuendelea kuwa mkuu wa mkoa au hata kupanda cheo?
Una hakika
 
Back
Top Bottom