Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?

Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?

Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.

Mengine watu wamebakiza uzushi na speculations tu.
 
Muda utakuja kutueleza uongozi wa namna gani ndio sahihi, yawezekana kuwakumbuka tulio wakataa au vinginevyo.
 
Utaduguda sana Majambazi hawana nafasi tena kama mnaumia sana hamieni Burundi... nyambafu lonkansalyabhoya...
 
Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.
Mtawala anayefanya uporaji, utekaji, uonevu wa kila aina hafai..

Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?

Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?

Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.

Mengine watu wamebakiza uzushi na speculations tu.
hata kama yeye mtawala mwenyewe anavunja sheria na kunyanyasa watu just because wanazuia biashara za magendo?

unaweza kuwa unafanya kazi nzuri. lakin hizo kaz zikawa overshadowed with tabia mbovu ulizonazo.
na serikal huwa hawalei watu wa aina hiyo
 
Muda utakuja kutueleza uongozi wa namna gani ndio sahihi, yawezekana kuwakumbuka tulio wakataa au vinginevyo.
kuna best candidates huko mitaani.. wengine wako serikalini.. wako best kuliko hao uliowasema.
stop white washing haito saidia.

mtaka alipokuwa dc aliwezaje .. kawa rc aliwexaje kutawala bila kuacha ugomvi na manung'uniko kwa watu?

muda utaibua the best peoples zaid yao
 
Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?

Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?

Alikuwa anazuia au yeye ndo aliongoza genge lake kufanya magendo na kupora na kudhulumu Mali halali za raia wa Tanzania ndani na nje ya mipaka ya eneo lake la uongozi?
Mama hakukosea. Atoke tu wa Tanzania hatuhitaji viongozi wa aina hizo kabisa.
 
Mtawala tena? sio kiongozi? Zamani CCM tukiitana ndugu sio mheshimiwa...tatizo mataga hamuijui misingi ya chama mnawaza teuzi tu.
Anyway tumewachoka na vilio vyenu, hebu tulienì. walikuwepo wakuu wa wilaya wengi kabla yake na watakuja wengine.
 
Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?

Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?

Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.

Mengine watu wamebakiza uzushi na speculations tu.
Vipi wee Mama mbona unaweweseka sana una mimba ya Sabaya eehh..!!
 
hata kama yeye mtawala mwenyewe anavunja sheria na kunyanyasa watu just because wanazuia biashara za magendo?

unaweza kuwa unafanya kazi nzuri. lakin hizo kaz zikawa overshadowed with tabia mbovu ulizonazo.
na serikal huwa hawalei watu wa aina hiyo
Tabia mbovu zipi?
 
Back
Top Bottom