Hii imethibitishwa?Mtawala anayefanya uporaji, utekaji, uonevu wa kila aina hafai..
Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi. Kazipataje hizi pesa wakati yeye ni mwajiriwa wa serikali? Ni biashara gani ya wazi Sabaya anafanya tusaidiane? Eti mnaita huyo...www.jamiiforums.com
Kuzuia magendo na uzurumaji ndio uporaji?Unatetea wanyan'ganyi na waporaji.
Jamabazi? Alikuwa akivamia majumba ya watu na kupora?Ni vizuri kuelewa tofauti kati ya jambazi na mtawala. Hiki hakihitaji kuwa na akili ya mwanasayansi ya nyuklia.
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
You are done chapter sabaya!! Grasp that!!Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?
Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?...
Tabia za wizi wizi!!Tabia mbovu zipi?
Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?
Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?
Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.
Mengine watu wamebakiza uzushi na speculations tu.
Tumia akili unitumie nguvu tafuta ajira uache kuwa chawaWataozuia watu kufanya biashara za magendo?
Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?
Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.
Mengine watu wamebakiza uzushi na speculations tu.
jiongezeTabia mbovu zipi?
maa...............ake
Hakika kweli una mimba ya huyo saa mbayaKuzuia magendo na uzurumaji ndio uporaji?
Waswahili au wapwani hawapendi lawama wala kutoa jasho. Mama atawasikia wapenda magendo wala rushwa wauza dawa za kulevya na dhulumati wa kila aina kumhukumu sabaya. Wanamapinduzi wa chama cha mapinduzi wanamkodolea macho. Ikifika siku watatoa hukumu yao.Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?
Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?
Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.
Mengine watu wamebakiza uzushi na speculations tu.
Mwambie mumeo sabaya akupe mtaji ufanye biashara maana akishafungwa utakuwa unawabebea wana mimba na ulivyokuwa na tackle simpo na jicho pori watakula piaJamabazi? Alikuwa akivamia majumba ya watu na kupora?
Hao waswahili ndo wanaongoza nchi sasa hivi, hamia Burundi basi bara ndani ndani huko.Waswahili au wapwani hawapendi lawama wala kutoa jasho. Mama atawasikia wapenda magendo wala rushwa wauza dawa za kulevya na dhulumati wa kila aina kumhukumu sabaya. Wanamapinduzi wa chama cha mapinduzi wanamkodolea macho. Ikifika siku watatoa hukumu yao.
Magufuli aliyelala kaburini fisadi watambue ni hatari kwao kuliko aliye hai. Hili walitambue fisadi wote