Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Acha useng. e wewe
Kwahiyo unaona huu ni umbea
Kumbuka serikali ni kwa ajili ya watu
 
Tulikuwa tunaambiwa enzi za mwendazake kuwa urais ni taasisi na hivyo maamuzi yanayochukuliwa ni sahihi ila kwa mama tunaambiwa anakurupuka ooh anafuata udaku mara hivi tusiwe bias hivyo wakuu bado urais ni taasisi kama awali maamuzi yaliyochukuliwa ni sahihi kama ikionekana tuhuma siyo sahihi atarejeshwa tumuamini Rais arudishe nchi ktk ustawi wa wote.
 
Manina,,leo na ntakula beer mpaka asubui kwa furaha tu,,,
Samia is the best, Mungu amlinde Rais wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…