3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Hapo mwisho hapana mkuu huko ni kumdhalilisha Rais wetu na kumtweza kusikohimilika tuwe na stahaKwa kifupi hatuna Rais zaidi ya mtu mpumbavu asie na focus juu ya Taifa na ustawi wa Taifa letu,amebakiza majungu maihemuko ya kisiasa,She is not a president zaid ya kuwa mwanamke mwenye period
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amesimamishwa kupisha Uchunguzi daadeki[emoji23]
View attachment 1783580
Malalamiko yako yataishia hapa hapa na hakuna atakaejali.Kwa kifupi hatuna Rais zaidi ya mtu mpumbavu asie na focus juu ya Taifa na ustawi wa Taifa letu,amebakiza majungu maihemuko ya kisiasa,She is not a president zaid ya kuwa mwanamke mwenye period
Ni hivi. Rais ana mechanism nyingi za kujua mambo. Hakurupuki. Ukiona amesimamishwa ujue imeshaonekana kuna ukweli kwenye tuhuma kwa kiasi kikubwa. Unajua ile kanuni ya FBI? Iko hivi: hawakuulizi swali la jambo wasilojua jibu lake.Amemsimamisha kupisha uchunguzi, hajamfukuza kazi. Kuna ubaya kuchunguza tuhuma za kiongozi wa umma? Unadhani Rais hana vyanzo vyake vya taarifa?
Daaaah wacha tuHuyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
OyaKama ameshamtoa dikteta Mbowe haina shida.
Watu wa Hai hawatarudi tena kanani
Enjoy...mie ngoja nitoke tu..sikua na mpango kbs...jamani taarifa kama hizi muwe mnatupa mapemaaa..saa9 hivi tunaipata💃💃🤸♂️🤸♂️Mimi nimeanza Kunywa tokea Asubuhi kuna Mabest wangu Wamerejea kutika Ughaibuni wamekuja Kuwekeza Nchini kwao.
Hizi habari zimetufanya tulipuke kwa futaha shangwe na Vigelegele
[emoji16][emoji16][emoji16]nyumbu wameshasahau ya mkurugenzi bandari.tusimuhukumu.
kasimamishwa kupisha uchunguzi.
ikibainika hana kosa atarudi kwenye kazi yake kama kawaida.
tusipende kushangilia matatizo ya mwenzako
[emoji108][emoji108]He is good looking though.
Who agrees?