simulizi za kweli
Member
- May 7, 2021
- 29
- 64
NandyHivi huyo msanii aliyekua anatakwa na sabaya hotelini hapo ni nani? Na ni jinsia gani?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NandyHivi huyo msanii aliyekua anatakwa na sabaya hotelini hapo ni nani? Na ni jinsia gani?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Chunguza ufahamu utaratibu wa kimaamuzi wa serikali.Ukiwa kiongozi mwenye maono muite na muulize tatizo ni nini? Baada ya hapo tafuta mbinu ya kusikiliza upande unaolalamika baada ya hapo fanya maamuzi, tofauti na hivyo huu ni mwendelezo wa Rais anae sikiliza maoni ya watu pasipo kujiridhisha.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
RC Kilimanjaro Anna Mghwira alaani wahuni walioshambulia msafara wa Tundu Lissu
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira ameshutumu vikali kitendo kilichofanywa na vijana wahuni wanaodaiwa kukodiwa na kuushambulia kwa mawe msafara wa mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu. Mkuu huyo wa mkoa alitoa kauli hiyo wakati akimjibu Mkuu wa KKKT dayosisi ya Kaskazini Askofu Shoo...www.jamiiforums.com
Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni
Watu watatu waliokuwa wakimfuatilia mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ndg. James Mbatia wakiwa na gari aina ya Toyota Prado namba DFP 788 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mjini Moshi jana saa 10 alasiri eneo la KDC baada ya Polisi kufukuzana na gari hilo na kufanikiwa...www.jamiiforums.com
Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd. Pia soma...www.jamiiforums.com
Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya. Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka...www.jamiiforums.com
Uchaguzi 2020 - Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...www.jamiiforums.com
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014C Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. Magufuli' DC Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. Magufuli
Thread 'DC Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. Magufuli' DC Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. MagufuliRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
RC Kilimanjaro Anna Mghwira alaani wahuni walioshambulia msafara wa Tundu Lissu
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira ameshutumu vikali kitendo kilichofanywa na vijana wahuni wanaodaiwa kukodiwa na kuushambulia kwa mawe msafara wa mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu. Mkuu huyo wa mkoa alitoa kauli hiyo wakati akimjibu Mkuu wa KKKT dayosisi ya Kaskazini Askofu Shoo...www.jamiiforums.com
Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni
Watu watatu waliokuwa wakimfuatilia mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ndg. James Mbatia wakiwa na gari aina ya Toyota Prado namba DFP 788 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mjini Moshi jana saa 10 alasiri eneo la KDC baada ya Polisi kufukuzana na gari hilo na kufanikiwa...www.jamiiforums.com
Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd. Pia soma...www.jamiiforums.com
Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya. Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka...www.jamiiforums.com
Uchaguzi 2020 - Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...www.jamiiforums.com
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
Kwani hao wanao andika huko mtandaon ni mbuzi sio watu ??Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Ahahaha kana kwamba hao watu wa mitandaon sio watuYaani maovu yaendelee na Rais ashindwe kufanya lolote akihofia kufanya hivyo ni kuonekana anawa please watu wa mitandaoni? Eti?
HahahahahahahHuna ujualo mkuu kaa kwa kutulia mjomba wa sabaya wewe
Sio yeye
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Ndio shida ya wabongo hio 😅😅😅 wanataka uongozi “Mlenda mlenda” ili wafanye yao bila bugudha!Hawasemi wanasema tu ni jambazi, ila katika kusearch kwa mtandao nadhani sababu kubwa alikuwa mkali sana kwa walionacho uko kaskazini, katika mambo mbalimbali..alisema kuna watu walinyang’anywa mashamba na wengine walikuwa hawalipi....so ile aggressiveness yake ilileta shida kidogo...
Miaka yote iendeshwe vizuri tu hii miaka mitatu yake ndio iwe ngumu ??Wako wengi ma criminal mkuu. Sema labda yeye u criminal wake ulizidi
Hai ilikuwa ngumu kuiendesha
Kumtetea Sabaya kwa namna yoyote ile kwa matendo aliyafanya lazima utakuwa mtu wa hovyo sanaHuyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Ndio shida ya wabongo hio 😅😅😅 wanataka uongozi “Mlenda mlenda” ili wafanye yao bila bugudha!
Haya bana mie sio mtaalam sana wa siasaHapana Mkuu kwa Sabaya alivuka mipaka mkuu....imagine mtu anaenda hotelini anataka aende Kumbandua Nandy kinguvu(CCTV) zipo ,anatumia genge la wahuni kupora mali za watu (CCTV) zipo,anatumia Plate number za UN kufanya matukio ya uhalifu ,amewahi kukamatwa kwa kutapeli kwa kudanganya yeye ni TISS.....Alienda kuvamia hotel ya mbowe na kuwakamata watalii ndani.
Mbona Abubakar Kunembe anafanya operation nyingi za kufuata sheria lakini chadema hawajawahi kulalamika sehemu yeyote? Kunembe akitaka kukamata wahamiaji haramu basi ataenda na watu wa uhamiaji ,akitaka kukamata wasiolipa kodi ataenda na polisi pamoja na watu wa TRA ila SaaMbovu anaenda na Kikundi cha wahuni aliowaokota mtaani na kwenda kupora kinguvu.