Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Kwenye podcast ya Tundu Lissu episode ya wiki hii Mbowe ameweka kumbukizi (document) baadhi ya yaliotokea kwenye siasa zetu, wahanga, na ushiriki wa baadhi ya watu ambao muda unavyokwenda kuna uwezekano wakaonekana wasafi aidha kwa kupoteza kumbukumbu au propaganda.
 
Kama kwel huyo swai na wengine walitendewa hayo na ole saa mbaya na ushahidi wanao ni wakati wao kumshtaki Sasa sio kuishia mitandaoni, kwa kumshtaki itaonekana Sasa hata kiongozi mwingine akiwafanyia watu mabaya anweza kushtakiwa baada ya uongzi wao. Nataman sana kusikia wahanga wa sabaya wanafungua kesi mahakaman la sivyo itakuwa ni porojo tu za mitandaoni
 
Kama sikunyooka enzi za jpm enzi zinazofata hakuna cha ajabu.
N.b sina vyeti feki. Vyeti feki na majizi mna hasira sana
Usingekuja kulalama hapa,kama mlivyo furahia na kushangilia wengine waliponyooshwa na mwendazake na sasa msikasirike mkiona wengine wakifurahia kunyooshwa kwa majambazi wenu.

Halafu acha jishitukia na vyeti hata kliniki vipo,walioumuzwa na utekaji na uporaji wenu wengi wana vyeti bora kuliko vyako ndio maana walikua na miradi mikubwa kuliko buku 7 zako
 
Leo hii upinzani mnafurahia watu kutumbuliwa? sio kwamba Rais hafuati sheria na taratibu za Utumishi, hakurupuki? Jamani anaumiza watu huyu Rais.
 
kama chadema october 2020[emoji1787][emoji1787]

michango imefika shingapi??
Yaani kila mtu anayepinga udhalimu wa dikteta na MATAGA mnambatiza Chadema? Kweli hao chadema nimekubali kiboko yenu. Sabaya cloud alitaja Mbowe kuliko chochote. Ndugai naye hafanyi kazi bila kumtaja Mbowe na Chadema. Kwani hizo zilizoibiwa 2020 aliyezihandisi yuko wapi sasa? Huyo Sabaya yu wapi sasa? Uovu haudumu milele.
 
sijui wewe ni nyumbu au mbung'o ila hutoki hapo kwa hao wadudu wawili.

chadema haiwezi kuwa kiboko yetu wakati haina mbunge hata mmoja.
 
Yaani kila mtu anayepinga udhalimu wa dikteta na MATAGA mnambatiza Chadema? Kweli hao chadema nimekubali kiboko yenu. Sabaya cloud alitaja Mbowe kuliko chochote. Ndugai naye hafanyi kazi bila kumtaja Mbowe na Chadema. Kwani hizo zilizoibiwa 2020 aliyezihandisi yuko wapi sasa? Huyo Sabaya yu wapi sasa? Uovu haudumu milele.
Bali haki hudumu milele
 
Kwahiyo penye upinzani mkali Mwendazake aliweka kibaraka - kidikteta kidogo kufanyizia upinzani kama ilivyokuwa akisema. Ok-. Tuseme mama ameamua kupiga deki nchi, kurejesha amani, heshima, umoja na maelewano. Sasa tuseme Bw. Polepole tayari, Bashiru tayari, Biswalo tayari na sasa Sabaya tayari wako pembeni.

Hebu tuendelee kumsaidia mama ili yale macho yake yaliyolegea yawaone waliobaki, walioharibu taswira ya nchi kwa kisingizio cha uzalendo!

Mimi ninaowajua ni hawa wafuatao:
1) Spika Ndugai - huyu hakuna haja ya kutumia bunge kumng'oa. Huyu atengenezewe zengwe kwenye chama halafu apokonywe kadi ya chama tu! Ndiyo njia rahisi! Kumbuka hata Jumbe alipokonywa kadi ya CCM akapoteza Urais!
Kwa ufupi Spika haijatambua kuwa Magufuli hayupo tena! Bado anadhani kuna ushirika wa mihimili kutenda maovu.

2) Very James UVCCM! Huyu naye kichwa kibovu, aondoke zake akawe UVCCM Chato!

3) Charamila RC Mbeya! Maneno mengi ya kashfa na dharau kwa watanzania! Aende Chato akaabudu kaburi la Mwendazake!

4). Huyu Biswalo naye angefanyiwa uchunguzi ili tuweke nchi sawa. Kuna watu wana maumivu makali sana yaliyosababishwa na huyo jamaa.

5). Bashite. Pamoja na kuwa yuko pembeni lakini alifanya maovu mengi ya kuhatarisha amani ya nchi. Wananchi wana machungu sana kuona anazurura tu mtaani wakati kadhulumu haki za watu. UTAWALA BORA uheshimiwe.

6) Cypriam Msiba! Huyo ni wa kukamata na kuficha. Hafai kuishi kwenye jamii iliyo staarabika!

Hebu na wewe fichua wengine. Hakika Mama anaona sana japo macho yamelegea!

NAWASALIMU KWA JINA LA JAMUHURI YA TANZANIA---- KAZI IENDELEE!
 
Jambazi sabaya alimwomba yule mmiliki wa Asante Tours rushwa ya million 10+ kwa mtutu wa bunduki..ushaidi upo na utapelekwa mamlaka usika. Uongozi ni dhamana vijana!
 
Back
Top Bottom