Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Maneno ya kipuuzi tu,hao wazee hawana maajabu tena! Kijana akikosea mmoja wasihukumiwe vijana wote wapo wana uwezo mzuri na wanaendelea kujifunza kila kukicha! Hao wazee ubunifu zero ni mambo ya unafiki na kujipendekeza tu!
Vijana walipewa nafasi awamu ya tano wakawaharibia sifa vijana wenzao. Ni kweli wapo wenye sifa, ila kuna sehemu bado zinahitaji wazee.
 
Utawala umeshafitinika!
Ujenzi wa 'babeli" ni ngumu kuendelea!
Dawa pekee ya chama hilki ni kumrudia Mola.
Upanga unanolewa na Muumba kwa wenye kushupaza shingo zao na kuzifanya ngumu.
 
Hata uwabadilishe vipi wizi na kutapanya raslimali zetu utatufikia kwa njia yoyote. Mungu ameshaamua kupigania taifa lake! Atakayetaka kumzuia Mungu anajua vile Mungu huwa anareact! waulize wamisri waliotaka kuwarudisha waisraeli utumwani ni nini kiliwapata! warning!!
 
Labda kuna haja kumulika vizuri kule uhamiaji pia? The growth rate is alarming, ukizingatia kuwa hata Mungu naye anao mkono wake kwenye balance hiyo
Uhamiaji ni vizuri kuudhibiti, lakini kwenye hili la ongezeko la watu mtausingizia tu.

Tanzania kwa hesabu za 2020 kila mwanamke mmoja anazaa watoto 4.8 kwa wastani.

Kuna Wapemba na Wasukuma wanazaana kama wanashindana.

Huko Pemba au kanda ya ziwa, pamoja na sehemu nyingine za Tanzania, kumkuta mwanamke mmoja ana watoto 10, au hata 12, mpaka leo, bado si kitu cha ajabu.

Usipopunguza kuzaana huku huu mfumuko utaendelea tu.

Hao wahamiaji wala si wengi hivyo.
 
Mbona huyu "ndugu" Ali Idd Siwa ni mzee ambaye anapaswa kuwa amestaafu!! Kama amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 maana yake ni kwamba hadi sasa amekuwa kwenye utumishi kwa miaka 46. Kiwango cha chini cha miaka ili mtu atajiriwe kwenye utumishi wa umma ni miaka 18. Tuki-assume kuwa huyu "ndugu" Ali Idd Siwa alikuwa na miaka 18 alipojiunga kwa mara ya kwanza na utumishi wa umma ina maana kwa sasa ana miaka 64. Kwa nini mtu mzee anayepaswa kustaafu apewe dhamana ya kuongoza kitengo nyeti sana kama TISS!! Hii inafikirisha kwa lazima!!
 
U make a lot of sense in this piece of information.
 
Magufuli alipambania 16% kivipi!?.. umefuatilia Hilo suala!?..kwa nini ni 16 Kama ilivyo kwenye katiba tangu sheria ilipowekwa na isiwe 25,30 kwa juhudi za magufuli!?..ufisadi wa jakaya ni hekaya na umbea tu wa vijiweni,aliyeuza mashirika ya umma na migodi ni mkapa,kwa Bei za kutupa,akajimilikisha na kiwira mpaka alipoporwa na jakaya na kurudisha maslahi ya nchi,una ushahidi na hizo habari zako za Tanga cement!?
 
Tunamtakia kazi njema katika kupeleleza njama za wakorofi ili hatimaye wadhibitiwe.
 
These constant changes, demotions, reshuffles consume most of the president's life. They shed a bad light on her leadership style; that it is hollow, impudent in decision-making level: i.e. incapable of weighing things up correctly prior to making decisions. One would be forgiven to believe it is unforgivably reckless and languid.
She is lucky she's running Tanzania where president's actions, even the most serious ones, are unquestionable.
 
Je, haya mabadiliko yanaweza kuwa na uhusiano na yale ya Baraza la Mawaziri, ukizingatia kuwa Wizara nyeti ya Ulinzi imeguswa?
 
Duuh
 
Huyu ndugu alikaa muda mfupi sana alizingua nini???
Au ndo siri ya mteuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…