Vitu kama hivi vinahutaju kufutwa... ni sawa na ile system ya kuhamisha hamisha wakuu wa mikoa na wilaya. Ni ujinga. Wale ndio engine ya wilaya na mkoa. Ukihamisha hamisha utendaji wao faida inaokena wapi?????Ndio point yangu kubwa, nafasi ya uwaziri iko kisiasa tu, hakuna vigezo, hakuna kuchujwa, hakuna uwajibikaji, akitoka kuwa waziri bado anaendelea kula msharahara kama mbunge.
Zaidi kwenye bunge la chama kimoja, hakuna uwajibikaji kabisa.
Kwa hii Elimu hapana, sawa unaweza kufeli form 4 au six lakini ukajiendeleza vizuri na ukawa competent Kama alivyo Makonda lakini kwa huyu kashindwa hata kufanya vyema huko mbele labda tuone kwenye utendaji inaweza kuwa ana maarifa
Kama unaona makonda ni competent basi tuishie hapo😁😁😁😁 ni huzuniKwa hii Elimu hapana, sawa unaweza kufeli form 4 au six lakini ukajiendeleza vizuri na ukawa competent Kama alivyo Makonda lakini kwa huyu kashindwa hata kufanya vyema huko mbele labda tuone kwenye utendaji inaweza kuwa ana maarifa
Kama unamuona Makonda ni msomi basi kichwa chako kitakua kimejaa funza wa kutosha.Kwani Kuna shida gani mtu kufeli form 4 alafu akajiendeleza vizuri sana mbona Makonda nae hivyo hivyo alafu muangalie kichwani na namna anavyodress Mambo unaona kabisa ni msomi tusiwe watu wakupingapinga kila Jambo tupime Kwanza utendaji wa mtu alafu then tujudge sisi pale ubungo tuna Kitila mkumbo ndio mbunge wetu tangu awe mbunge wa hapo hakuna chochote alichofanya ila ukiangalia Elimu imeshiba mno ni professor lakini asiye na impact yoyote
Mwenye kujua elimu yake tafadhari atuwekeeRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Wanu Hafidh Ameir kuwa Naibu Waziri wa Eimu, Sayansi na Teknolojia. Wizara itasalia kuwa na Prof. Adolfu Mkenda kama waziri akisaidiwa na Wanu Hafidh.
Pia Soma: Mchengerewa ateuliwa kuwa waziri wa Afya
Wanu kuingia kwenye hiyo system ni jambo la kuandika kweli? Sawa na jesca, ridhiwani. Hata wewe ungekua mtoto wake ungetaka ungeingia tu faster tu kwenye hiyo unaita system. Bongo hakuna vettingndio maana ameweza kuingia kwenye system
hizi nafasi zao ni za kisiasa tu, pale kuna wakurugenzi kila wilaya, na idara zao, bado kuna mbunge, hizi nafasi za wakuu wa mikoa, wilaya, ni za kufutwa kabisa.Wale ndio engine ya wilaya na mkoa. Ukihamisha hamisha utendaji wao faida inaokena wapi?????
Naona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea huyu mwenye mwili kama Kiboko, sijui ni crush wako...Ukilaza wake ni upi wakati hatujampima vizuri kiutendaji tuna wasomi wenye CV kubwa sana lakini ukija kwenye utendaji hawana tofauti na hawa wasiosoma sana na ndio maana msukuma huwa anawadhiaki
Mkuu unategemea waziri mkuu anaweza kumuwajibisha wanu endapo kuna jambo litakua halijaenda sawa? Au unategemea Raisi ambae ni mama yake anaweza kumuwajibisha endapo Kuna mambo yatakua hayapo sawa?Ndio alifeli lakini si alijiendeleza vizuri wewe unajudge vipi ikiwa haujaona utendaji wake
Astaghafilulah.......Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Wanu Hafidh Ameir kuwa Naibu Waziri wa Eimu, Sayansi na Teknolojia. Wizara itasalia kuwa na Prof. Adolfu Mkenda kama waziri akisaidiwa na Wanu Hafidh.
Pia Soma: Mchengerewa ateuliwa kuwa waziri wa Afya
Chiefdom society