PostGE2025 Rais Samia amteua Binti yake Wanu Hafidh, kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hapa hawa ******* Samia na kikwete wanataka 2030 Ridhiwan awe rais Tanzania na Wanu awe rais Zanzibar... Huko mbeleni tutashindwa hata kupumua maana watatuwekea mifumo migumu kama ile ya Fc Barcelona ya 2010's.
Mnalalamika Kwani Rais mnamtambua?

Tulizeni mshono!!!!
 
Shetani samuya alishawadharau watanganyika siku nyingi sana na alishajua jinsi ya kuishi nao, ndio maana anafanya haya yote kwa kujiamini.

Samuya alishaona matanganyika ni maoga,mabinafsi, hayana umoja na yanapenda sana ufisadi na rushwa, hivyo alichoamua samuya ni kuwapa tu vyeo vya kati na uhuru wa kufanya ufisadi kadri wanavyojiskia, na kila baada ya muda anawapandishia mishaara...

...kwa kufanya hivyo amewaweza kabisa watanganyika, wote sasa wamegeuka kuwa machawa wake na wanamlinda, wakati huo yeye na familia yake wajimilikisha rasilimali za Tanganyika zenye thamani ya matrilioni.

Sasa hivi vyeo vyote vya juu wanapewa wazanzibar hata kwenye taasisi ambazo sio za muungano, halafu watanganyika wamebaki kutumikishwa tu na hao wazanzibari na kuendekeza uchawa tu..

..siku hizi kwenye ofisi za uma akiletwa boss mpya tu, utaona watanganyika wanakokotana halafu wanaenda kuulizana huko koridoni eti "huyu nae ni mzanzibari"?.. halafu wanaishia kuguna tu.

Samuya amejimilikisha Tanganyika yeye na familia yake kwa msaada wa Kikwete na viongozi wa usalama wenye tamaa ya utajiri waliokulia familia za kimaskini akina Wambura na ****** na hakuna kitu wanachoweza kumfanya.
 
CV yake ina nini kama sio unatetea vilaza
 
Kama unamuona Makonda ni msomi basi kichwa chako kitakua kimejaa funza wa kutosha.
Ni vile tu watu mnachuki nae, siku msikilize vizuri bila chuki Makonda ana convince power na anajua kupangilia vizuri hoja zake na sio muoga kwenye kuthubutu hata kama wakati mwingine hazifanikiwi
 
Wanu kuingia kwenye hiyo system ni jambo la kuandika kweli? Sawa na jesca, ridhiwani. Hata wewe ungekua mtoto wake ungetaka ungeingia tu faster tu kwenye hiyo unaita system. Bongo hakuna vetting
Kwani harakati zake za kisiasa kaanza baada ya mama yake kupata nyadhifa kubwa au before?
 
Wewe angalau umejenga hoja nzito wengine wamejikita kwenye Elimu yake mara sijui kafeli form 6 Kama mtu alifeli form 6 au 4 na akajiendeza na akapata ujuzi zaidi inakuaje anahukumiwa?
 
Kwani harakati zake za kisiasa kaanza baada ya mama yake kupata nyadhifa kubwa au before?
Kaanza baada ya mama kupata nyadhifa.

Hata pia angeanza kabla bado hakuna sababu za kutosha kumteua mtoto wako sababu hakutakua na uwajibikaji. Nilikuuliza unategemea waziri mkuu anaweza kumuwajibisha mtoto wa raisi? Akharibu kazi nani atamuwajibisha? Akitaka mambo yake nje ya utaratibu nani atathubutu kukataa?
 
Wewe angalau umejenga hoja nzito wengine wamejikita kwenye Elimu yake mara sijui kafeli form 6 Kama mtu alifeli form 6 au 4 na akajiendeza na akapata ujuzi zaidi inakuaje anahukumiwa?
Mtu mwenye CV ya ******* kama huyo Wanu anapewaje unaibu waziri kwenye wizara nyeti kama hiyo ya Elimu?. Hivi wewe unajitambua kweli?, Aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…